Huo ni mtazamo wako kama mwanamke ndio maana unataka tuukubali na unafikiri ni reality. Nawanaume nao wanamitazamo yao hivyohivyo nawanaona ni reality ndio maana nikakwambia upendo haulazimishwi. Nanyie kama mnataka wanaume wastawi kiuchumi simuache kuwachuna na mkatae kuhudumiwa, [emoji23][emoji23][emoji23] two can play this game. Your not the victim, ni akili zako na maamuzi yako usimpangie mwanaume akuwazie vipi kama sisi tusivyowapangia mtuwazie vipi kuhusu sisi kuwa na uchumi wa kuwatunza nyie. Jitunze kunamtu kakulazimisha kufanya mapenzi sitamaa zako. Pia nimekwambia yaishe sista.