Wanaume baadhi tumechangia mno hawa singo maza kushamiri...hatutaki majukumu
Siyo kweli, 95% ya wadada hubeba mimba kama njia ya kukufanya umuoe na hutumia watoto kama fimbo ya kukuchapia kwa vitisho vya kuomba matumizi , Wana matusi, kebehi, ujuaji na maneno mengi kupita kiasi, yaani kiufupi wanawake wa sasa wengi wao sioni haya kusema kua ni washenzi tu
 
Tunaishi nyakati ngumu sana . Hata John Lennon aliwahi kuliimba hili kwenye nyimbo yake ya nobody told me.
 
Kuna singo mama wanatoa mbususu hata ndo akiwa katoka kujifungua siku hyo hyo

Shida hz jamani hazifai
 
Kuna ukwel ktk chapisho lako lakini ki vyovyote ni jukumu letu wanaume kuhakikisha ustawi wa watoto wetu hata kama hakuna maelewano
 
Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,

Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie

So sad kaa nae chini huyo mama umshauri

Utabarikiwa saba
 
U r an enemy not a friend....
 
Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,

Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
So kanawagege watoto wenzie 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mke/mpenzi/mme wako wa leo alikuwa mme/mpenzi/mke wa jamaa enzi hizo.

Mke/mpenzi/mme wako wa leo atakuwa mke/mpenzi/mme wa jamaa wakati ujao.

Hivyo kaa kwa kutulia jombaa!!!! Mambo haya hayataki hasira.

[emoji38][emoji851][emoji56][emoji21]
Ni kweli hayataki hasira ni mwendo wakushare tuu wala hamna shida. Mke wangu ni mke wako tugegedanage tuu ndio starehe namba moja duniani
 
Single mothers ni shida jeuri kiburi na dharau ......wana stress sana victims .....kiburii
 
Wanaume tuendelee na KAZI! πŸ€ͺ😜πŸ’ͺπŸ‘πŸ€βœŠπŸ€™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…