baloz89
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,224
- 1,800
Ndo ivo angalau basi tujali viumbe vyetuhaya mambo ni complicated sana mkuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivo angalau basi tujali viumbe vyetuhaya mambo ni complicated sana mkuu....
Single mama akijua una mke atakupa mapenzi matamu Sana. Kuanzia ushauri Hadi chumbani. Usipokua na akili unaweza kusomesha watoto wake.warahisi sana, yaani sana
na utapewa kila siku
Siyo kweli, 95% ya wadada hubeba mimba kama njia ya kukufanya umuoe na hutumia watoto kama fimbo ya kukuchapia kwa vitisho vya kuomba matumizi , Wana matusi, kebehi, ujuaji na maneno mengi kupita kiasi, yaani kiufupi wanawake wa sasa wengi wao sioni haya kusema kua ni washenzi tuWanaume baadhi tumechangia mno hawa singo maza kushamiri...hatutaki majukumu
Kuna ukwel ktk chapisho lako lakini ki vyovyote ni jukumu letu wanaume kuhakikisha ustawi wa watoto wetu hata kama hakuna maelewanoSiyo kweli, 95% ya wadada hubeba mimba kama njia ya kukufanya umuoe na hutumia watoto kama fimbo ya kukuchapia kwa vitaisho vya kuomba matumizi , Wana matusi, kebehi, ujuaji na maneno mengi kupita kiasi, yaani kiufupi wanawake wa sasa wengi wao sioni haya kusema kua ni washenzi tu
Hapana mkuu , nakupinga hili. Huu ni naked lieKuna singo mama wanatoa mbususu hata ndo akiwa katoka kujifungua siku hyo hyo
Shida hz jamani hazifai
Pamoja dear 😉Asante sana....
Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,
Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
U r an enemy not a friend....Hakuna uhalisia wowote, ni percetions za watu tu.
Kama mwanamke yupo na jamaa ovyo aendelee kuvumilia ujinga? Ni bora asepe ili kuepukana na madhara yajayo.
Sio kila single mother alipenda awe hivyo, kuna kisababishi. Kwa hiyo tuwapende kama dada/mama/shangazi zetu.
Mbona kuna wanaume wa hovyo sana siku hizi? Tusijifanye hatuwaoni na maadili kengeufu yao siku hizi.
Tuangalie pande zote sio single mothers tu.
So kanawagege watoto wenzie 🤣🤣🤣🤣🤣Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,
Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
Ni kweli hayataki hasira ni mwendo wakushare tuu wala hamna shida. Mke wangu ni mke wako tugegedanage tuu ndio starehe namba moja dunianiMke/mpenzi/mme wako wa leo alikuwa mme/mpenzi/mke wa jamaa enzi hizo.
Mke/mpenzi/mme wako wa leo atakuwa mke/mpenzi/mme wa jamaa wakati ujao.
Hivyo kaa kwa kutulia jombaa!!!! Mambo haya hayataki hasira.
[emoji38][emoji851][emoji56][emoji21]
NdiyoSo kanawagege watoto wenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wangeelewa hii wasingekua wanaandika nyuzi za kuponda daily humuWauwawe tena aisee... kuna waliojikuta single mother wao bila kupenda..
Mi ni single mother mtu akigeneralize lazima niumieumeongea kwa hisia sana mkuu
Wanaume tuendelee na KAZI! 🤪😜💪👍🤝✊🤙Hasa kwa wale ambao baba wa mtoto kala kona mazima, naongea kwa ushahidi kabisa kuna uhakika wa asilimia 90 kulala na single mother siku hio hio.
Mara nyingi huwezi kujua ni single mothers sababu bado ni umri mdogo bado ni pisi kali tu, ila ndio hivo tena ukiingia line suala la kupewa mzigo ni kawaida sana, nikuvuta tu
Sababu inayopelekea sana hizi ishu ni kupata pesa ya kulea mtoto na kutafta zali la kupata mme wa kumheshimisha kwenye jamii na mtoto awe na baba.. katika mzunguko huu sex inakuwa cheap sana