Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Wanaume baadhi tumechangia mno hawa singo maza kushamiri...hatutaki majukumu
Siyo kweli, 95% ya wadada hubeba mimba kama njia ya kukufanya umuoe na hutumia watoto kama fimbo ya kukuchapia kwa vitisho vya kuomba matumizi , Wana matusi, kebehi, ujuaji na maneno mengi kupita kiasi, yaani kiufupi wanawake wa sasa wengi wao sioni haya kusema kua ni washenzi tu
 
Tunaishi nyakati ngumu sana . Hata John Lennon aliwahi kuliimba hili kwenye nyimbo yake ya nobody told me.
 
Kuna singo mama wanatoa mbususu hata ndo akiwa katoka kujifungua siku hyo hyo

Shida hz jamani hazifai
 
Siyo kweli, 95% ya wadada hubeba mimba kama njia ya kukufanya umuoe na hutumia watoto kama fimbo ya kukuchapia kwa vitaisho vya kuomba matumizi , Wana matusi, kebehi, ujuaji na maneno mengi kupita kiasi, yaani kiufupi wanawake wa sasa wengi wao sioni haya kusema kua ni washenzi tu
Kuna ukwel ktk chapisho lako lakini ki vyovyote ni jukumu letu wanaume kuhakikisha ustawi wa watoto wetu hata kama hakuna maelewano
 
Hakuna uhalisia wowote, ni percetions za watu tu.

Kama mwanamke yupo na jamaa ovyo aendelee kuvumilia ujinga? Ni bora asepe ili kuepukana na madhara yajayo.

Sio kila single mother alipenda awe hivyo, kuna kisababishi. Kwa hiyo tuwapende kama dada/mama/shangazi zetu.

Mbona kuna wanaume wa hovyo sana siku hizi? Tusijifanye hatuwaoni na maadili kengeufu yao siku hizi.

Tuangalie pande zote sio single mothers tu.
U r an enemy not a friend....
 
Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,

Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
So kanawagege watoto wenzie 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mke/mpenzi/mme wako wa leo alikuwa mme/mpenzi/mke wa jamaa enzi hizo.

Mke/mpenzi/mme wako wa leo atakuwa mke/mpenzi/mme wa jamaa wakati ujao.

Hivyo kaa kwa kutulia jombaa!!!! Mambo haya hayataki hasira.

[emoji38][emoji851][emoji56][emoji21]
Ni kweli hayataki hasira ni mwendo wakushare tuu wala hamna shida. Mke wangu ni mke wako tugegedanage tuu ndio starehe namba moja duniani
 
Single mothers ni shida jeuri kiburi na dharau ......wana stress sana victims .....kiburii
 
Hasa kwa wale ambao baba wa mtoto kala kona mazima, naongea kwa ushahidi kabisa kuna uhakika wa asilimia 90 kulala na single mother siku hio hio.

Mara nyingi huwezi kujua ni single mothers sababu bado ni umri mdogo bado ni pisi kali tu, ila ndio hivo tena ukiingia line suala la kupewa mzigo ni kawaida sana, nikuvuta tu

Sababu inayopelekea sana hizi ishu ni kupata pesa ya kulea mtoto na kutafta zali la kupata mme wa kumheshimisha kwenye jamii na mtoto awe na baba.. katika mzunguko huu sex inakuwa cheap sana
Wanaume tuendelee na KAZI! 🤪😜💪👍🤝✊🤙
 
Back
Top Bottom