The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Moyo wangu unampenda ana mapenzi ya dhatiChukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.
Angalia moyo wako wasemaje.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo wangu unampenda ana mapenzi ya dhatiChukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.
Angalia moyo wako wasemaje.
Medic... we need a medic ASAP!Wadau hope mko poa
Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.
Mambo yanabadilika niombeeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
NAKAZIAEWE KIJANA USIOE
Kila mtu huwa ana kichaa cha mapenzi anapoingia kwenye mahusiano mapya (penzi jipya)
Jamaa kajichanganya kuleta hili jambo huku bora angekufa nalo kimya kimyaWatakuambia umeanza mechi ukiwa na handicap -1
DaaaaahNdugu yangu nimekuita kwa hisia sanaa sio kwa ubaya hao watu huwa na tabia ya kujishusha na kujibebisha sana akiwa anataka kumshika mtu lakini nilichokuja kugundua 75% ya single mama akili zao zinafanana ,..utakuja kupigwa tukio hutaamini kabisaaa
All the best mkuu, mapenzi hayana formula maalumWadau hope mko poa
Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.
Mambo yanabadilika niombeeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Usimvuruge mwenzio sema ajitahidi asimpige tukio maana akijaribu tu kaishaaaNdugu yangu nimekuita kwa hisia sanaa sio kwa ubaya hao watu huwa na tabia ya kujishusha na kujibebisha sana akiwa anataka kumshika mtu lakini nilichokuja kugundua 75% ya single mama akili zao zinafanana ,..utakuja kupigwa tukio hutaamini kabisaaa
Orodhesha viashiria japo kwa uchache vinavyofanya uone yeye pia anakupenda kwa dhati isije ikawa anatafuta sehemu ya kujishikiza tu.Wadau hope mko poa
Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.
Mambo yanabadilika niombeeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ninyi mnanukuu vibaya thread za watu!Baada ya mda ataangalia akili yake inasemaje, Single Mama lazima:
1. Cheti cha kifo - Majina kama NIDA.
2. Picha ya kaburi - Majina kama NIDA.
3. Hakiki jina hospital aliyofia.
4. Hakiki picha linganisha na mtoto.
5. Hakiki kama hakuna shemeji.
Huyu anaenda kupigwa na kitu kizito.Kila mtu huwa ana kichaa cha mapenzi anapoingia kwenye mahusiano mapya (penzi jipya)
Watu wanaweza kukushauri kwa nia njema lkn ukawaona km wanakuharibia.
Baada ya kichaa kuisha, mpo kwenye uhalisia ndiyo unaanza kuwakumbuka watu wote waliokushauri.
Ni vizuri ila kumbuka
1. Uhusiano na mzazi mwenzake aliyemzalisha ni wa milele. Watawasiliana tu kwenye mahitaji ya mtoto, harusi au hata misiba
2. Kukumbushiana kwenye ngono hilo ni 70%. Katika watu ambao huwa hawasauliki ni yule aliyemtoa bikira na aliyemzalisha.
3. Mwanamke hukubali kuzaa na mwanaume anayempenda. Tegemea kulinganishwa na jamaa.
Hata kama sio ndugu yako mpe ushauri mzuri.Chukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.
Angalia moyo wako wasemaje.