Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Uchochezi😀Kivumbi leo
Kibamia vs singo maza [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchochezi😀Kivumbi leo
Kibamia vs singo maza [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndyo umeanddik nini apa unaandik geziti lisilo na kichw wala miguu unaisi sisi tunawaone mjinga kweliNAWASHANGAA Sana wanaume wanaowasema vibaya single mom.
Katika Jambo hili nimegundua yafuatayo;
Kwanza,wote wanaowasema hao single mom hawaijui thamani ya kuwa MWANAUME.
Kwa faida yenu NI kuwa,MWANAUME NI MFALME.
Sasa unapokuja kuwasema vibaya masingle mom nakushangaa mfalme wewe.Kwanza hujui kazi yako.ngoja nikwambie
KAZI YA MFALME NI KUONGOZA.
Tatizo hamuongozi Bali mnaongozwa.
Hebu fikiria, ni MFALME gani anayewasema vibaya raia wake?
Sasa huyo mwanamke NI raia.na Kama umeshindwa kumuongoza Basi wewe sio king Tena Bali kinyume chake.
KAZI NYINGINE NI KUPENDA
Wanaume baadhi huwa wanapendapenda na sio kupenda.
Wengine wanapendwa badala ya kupenda.kinachotokea NI kufanyiwa kila kitu Hadi kupewa pesa ya mahari na mwanamke. NINI MATOKEO YAKE?
NI kuwa badala ya kupenda anakuwa MTII KWA MWANAMKE(KOSA KUBWA)
Kumbuka andiko hili;Enyi wanaume,wapendeni wake zenu&Enyi wake watiini Waume zenu.
Single mom NI dada zetu, shangazi zetu,na ndugu zetu.
CHANZO CHA SINGLE MOM NI NINI?
Kubakwa
Kuachana na mume wake.
Kutelekezwa
Kufiwa na mumewe.
N.K
JE NI KWELI SINGLE MOM TU NDO WENYE MATATIZO HADI KUSEEEEEMWA KILA KUKICHA?
Si kweli. Kuna baadhi wana matatizo kwani hakuna binadamu mtimilifu.
Wangapi wanaoa wanawake ambao sio single na wanatendewa ya ajabu.
Hivi wewe unayesema single mom Hana AKILI,sijui wako hivi wako vile,wewe unazo?
Kama ingekuwa na AKILI timamu ungewasema ukifikiria kuwa wewe NI MFALME?
KWA TAARIFA YAKO WEWE MWANAUME NI MFALME,NA KUWASEMA BAADHI YA RAIA ZAKO(SINGLE MOM)NI KUWA HUFAI NA HUNA HADHI YA KUWA MFALME.
Mtoto wa kiume uliyeingia jandoni hawezi kufanya hivi.Kwani aliyesababisha mpaka aitwe single mom NI Nani?
Nasema hivi kwa aliyeenda JANDO porini, kikatumika kisu hawezi hawezi KUWASEMA vibaya hao masingle mom
NIKO PALEEEE NASUBIRI MATUSI YENU.
Mimi Tena mjinga au kikojoleo chako kilichotoa mbegu mpaka akapatikana huyo single momNdyo umeanddik nini apa unaandik geziti lisilo na kichw wala miguu unaisi sisi tunawaone mjinga kweli
Dada zako wanamuita wifi na dada za jamaa wa kule wanamwita wifi.Ila ni yale mahusiano yake na baba wa mtoto na familia ya baba wa mtoto huwa hayafi, inakua kama kaolewa na wanaume wawili.
Mkuu kuoa single mother inataliwa uwe na moyo sana.Ishu sio kuchapiwa, mbona kuchapiwa hata kama sio singo maza unachapiwa tu.
Ila ni yale mahusiano yake na baba wa mtoto na familia ya baba wa mtoto huwa hayafi, inakua kama kaolewa na wanaume wawili.
Siku mtibuana yeye ni kama anakua na backup, so sometimes anafanya kusudi akijua ana mume mwingine yuko tayari kwa ajili yake.
Yaani uoe mtu halafu anytime kuna lijamaa linapanga miadi nae kwa kisingizio cha kuona mtoto.
Aaa mkuu mimi namjua mtu mmoja alizaa na mdada mmoja ila hawakuoana. Akaja kuolewa na mtu mwingine na mashariti yake na kama yako.Kama mimi ninachagua ku sacrifice kuoa mwanamke ambaye alishazaa before, then na yeye afanye ku sacrifice kumuachia huyu mtoto akitimiza miaka 7 aende kwa baba yake mzazi wakapambane huko na nisisikie ameniletea story za nimeenda kumsalimia mwanangu, atazaa watoto wengine ndio watakuwa watoto wetu na ndio tutawalea na kufurahia maisha.
Mtoto kama atakuja kumsalimia mama yake aje akiwa mkubwa ana akili timamu na anajua kuwa baba na mama hawaishi pamoja na ameanza kumuona mama ukubwani tena kwa kumtafuta.
Mambo ya kibwege bwege mimi sitaki pumbavu kabisa.
Huo ushauri mzuri Kwa watoto wa wenzio. Je mwanao akitaka kuona Single mom utamsupport?Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Mwambie kabisa anunue na kipimo Cha PreshaMuoe tu kama unampenda
Huwezi kujua...huenda mdada wa watu katulia zake kimya hana mambo mengi😊Mwambie kabisa anunue na kipimo Cha Presha
Shida masuala ya kupasha kiporo huwa yako nje njeHuwezi kujua...huenda mdada wa watu katulia zake kimya hana mambo mengi[emoji4]
kama ukimkoleza vizuri anapata wapi hisia za kupasha viporo☺️☺️Shida masuala ya kupasha kiporo huwa yako nje nje