Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Dada zangu 2 ni single mothers,mzazi mwenzangu pia ni single mother.
Huu u single mother ni kama ka laana kakianza kutembea kwenye familia hakaachi.
Mnaweza jikuta mnakuwa familiya ya wasimbe a.k.a malaya.

Jamani inabidi tuepukana na haka ka tabia ka usingle mothers,Dada zetu inabidi wafundwe na waache mambo ya 50/50
 
NAWASHANGAA Sana wanaume wanaowasema vibaya single mom.

Katika Jambo hili nimegundua yafuatayo;

Kwanza,wote wanaowasema hao single mom hawaijui thamani ya kuwa MWANAUME.
Kwa faida yenu NI kuwa,MWANAUME NI MFALME.

Sasa unapokuja kuwasema vibaya masingle mom nakushangaa mfalme wewe.Kwanza hujui kazi yako.ngoja nikwambie
KAZI YA MFALME NI KUONGOZA.

Tatizo hamuongozi Bali mnaongozwa.

Hebu fikiria, ni MFALME gani anayewasema vibaya raia wake?

Sasa huyo mwanamke NI raia.na Kama umeshindwa kumuongoza Basi wewe sio king Tena Bali kinyume chake.

KAZI NYINGINE NI KUPENDA
Wanaume baadhi huwa wanapendapenda na sio kupenda.

Wengine wanapendwa badala ya kupenda.kinachotokea NI kufanyiwa kila kitu Hadi kupewa pesa ya mahari na mwanamke. NINI MATOKEO YAKE?

NI kuwa badala ya kupenda anakuwa MTII KWA MWANAMKE(KOSA KUBWA)
Kumbuka andiko hili;Enyi wanaume,wapendeni wake zenu&Enyi wake watiini Waume zenu.

Single mom NI dada zetu, shangazi zetu,na ndugu zetu.
CHANZO CHA SINGLE MOM NI NINI?

Kubakwa
Kuachana na mume wake.
Kutelekezwa
Kufiwa na mumewe.

N.K
JE NI KWELI SINGLE MOM TU NDO WENYE MATATIZO HADI KUSEEEEEMWA KILA KUKICHA?

Si kweli. Kuna baadhi wana matatizo kwani hakuna binadamu mtimilifu.
Wangapi wanaoa wanawake ambao sio single na wanatendewa ya ajabu.

Hivi wewe unayesema single mom Hana AKILI,sijui wako hivi wako vile,wewe unazo?

Kama ingekuwa na AKILI timamu ungewasema ukifikiria kuwa wewe NI MFALME?

KWA TAARIFA YAKO WEWE MWANAUME NI MFALME,NA KUWASEMA BAADHI YA RAIA ZAKO(SINGLE MOM)NI KUWA HUFAI NA HUNA HADHI YA KUWA MFALME.

Mtoto wa kiume uliyeingia jandoni hawezi kufanya hivi.Kwani aliyesababisha mpaka aitwe single mom NI Nani?

Nasema hivi kwa aliyeenda JANDO porini, kikatumika kisu hawezi hawezi KUWASEMA vibaya hao masingle mom
NIKO PALEEEE NASUBIRI MATUSI YENU.
 
Chanzo kikuu cha kuwa single mother ni mwanamke kujichagulia mume wa kuwa naye. Mwanamke kufanya maamuzi kwa hisia na sio logic ndio maana wengi wao huishia kwa wahuni, wanapataza mimba, kisha muhuni anakimbia.

Mwanamke anapaswa kutafutiwa mwenza na mama mtu mzima aliyekwisha ona mengi ya dunia hii.

Dhana ya 50/50 na ule mkutano wa Beijing umewaharibu sana wanawake.
 
NAWASHANGAA Sana wanaume wanaowasema vibaya single mom.

Katika Jambo hili nimegundua yafuatayo;

Kwanza,wote wanaowasema hao single mom hawaijui thamani ya kuwa MWANAUME.
Kwa faida yenu NI kuwa,MWANAUME NI MFALME.

Sasa unapokuja kuwasema vibaya masingle mom nakushangaa mfalme wewe.Kwanza hujui kazi yako.ngoja nikwambie
KAZI YA MFALME NI KUONGOZA.

Tatizo hamuongozi Bali mnaongozwa.

Hebu fikiria, ni MFALME gani anayewasema vibaya raia wake?

Sasa huyo mwanamke NI raia.na Kama umeshindwa kumuongoza Basi wewe sio king Tena Bali kinyume chake.

KAZI NYINGINE NI KUPENDA
Wanaume baadhi huwa wanapendapenda na sio kupenda.

Wengine wanapendwa badala ya kupenda.kinachotokea NI kufanyiwa kila kitu Hadi kupewa pesa ya mahari na mwanamke. NINI MATOKEO YAKE?

NI kuwa badala ya kupenda anakuwa MTII KWA MWANAMKE(KOSA KUBWA)
Kumbuka andiko hili;Enyi wanaume,wapendeni wake zenu&Enyi wake watiini Waume zenu.

Single mom NI dada zetu, shangazi zetu,na ndugu zetu.
CHANZO CHA SINGLE MOM NI NINI?

Kubakwa
Kuachana na mume wake.
Kutelekezwa
Kufiwa na mumewe.

N.K
JE NI KWELI SINGLE MOM TU NDO WENYE MATATIZO HADI KUSEEEEEMWA KILA KUKICHA?

Si kweli. Kuna baadhi wana matatizo kwani hakuna binadamu mtimilifu.
Wangapi wanaoa wanawake ambao sio single na wanatendewa ya ajabu.

Hivi wewe unayesema single mom Hana AKILI,sijui wako hivi wako vile,wewe unazo?

Kama ingekuwa na AKILI timamu ungewasema ukifikiria kuwa wewe NI MFALME?

KWA TAARIFA YAKO WEWE MWANAUME NI MFALME,NA KUWASEMA BAADHI YA RAIA ZAKO(SINGLE MOM)NI KUWA HUFAI NA HUNA HADHI YA KUWA MFALME.

Mtoto wa kiume uliyeingia jandoni hawezi kufanya hivi.Kwani aliyesababisha mpaka aitwe single mom NI Nani?

Nasema hivi kwa aliyeenda JANDO porini, kikatumika kisu hawezi hawezi KUWASEMA vibaya hao masingle mom
NIKO PALEEEE NASUBIRI MATUSI YENU.
Ndyo umeanddik nini apa unaandik geziti lisilo na kichw wala miguu unaisi sisi tunawaone mjinga kweli
 
Mwanaume rijali mwenye akili timamu anayejiamini anajiheshimu HAWEZI HANGAIKÂ KUOA SINGO MAZA...
Singo maza ukianza nao mahusiano sababu zao zinafanana ktk kujifanya wameonewa kuachwa na aliye mzalisha... Utasikia "Nilitelekezwa mimba ikiwa na miezi au niliachwa mtoto akiwa na miezi au mwaka... Sina mawasiliano kabisa na aliyenizalisha... Huyu mtoto namhudumia mimi kwa kilakitu... Hata Yesu au Mohammed SAW warudi leo siwez rudiana na aliyenizalisha...
😂😂😂 KUMBE NYUMA YA PAZIA ALIYEMZALISHA ANAMHUDUMIA MTOTO NA UTELEZI ANAPEWA KISHIKAJI...
Wanaume msidanganyike na machozi na maneno ya huruma ya wanawake... Mwanaume timamu na rijali kazi yake ni kuijaza dunia...

I LIKE VIOLENCE
 
Ila ni yale mahusiano yake na baba wa mtoto na familia ya baba wa mtoto huwa hayafi, inakua kama kaolewa na wanaume wawili.
Dada zako wanamuita wifi na dada za jamaa wa kule wanamwita wifi.
🤣🤣🤣🤣.
Kaka yake jamaa shemeji na kaka yako wewe shemeji.
Mama wa jamaa na mama yako ze same.
🤣🤣🤣
 
Ishu sio kuchapiwa, mbona kuchapiwa hata kama sio singo maza unachapiwa tu.
Ila ni yale mahusiano yake na baba wa mtoto na familia ya baba wa mtoto huwa hayafi, inakua kama kaolewa na wanaume wawili.
Siku mtibuana yeye ni kama anakua na backup, so sometimes anafanya kusudi akijua ana mume mwingine yuko tayari kwa ajili yake.

Yaani uoe mtu halafu anytime kuna lijamaa linapanga miadi nae kwa kisingizio cha kuona mtoto.
Mkuu kuoa single mother inataliwa uwe na moyo sana.
Afu unakazi kubwa ya kumjua jamaa alienzaa nae ni mtu wa aina gani na tabia yake pia na familia yake kwa ujumla.
Mwingine anaweza akawa mkorofi .
Anaweza andaa birthday ya mtoto nyumbani kwa bibk na babu yake sasa mkeo anaenda. Lishana keki pale, piga picha mpk mtandaoni.

Daaa ni mtihani kweli.
 
Kama mimi ninachagua ku sacrifice kuoa mwanamke ambaye alishazaa before, then na yeye afanye ku sacrifice kumuachia huyu mtoto akitimiza miaka 7 aende kwa baba yake mzazi wakapambane huko na nisisikie ameniletea story za nimeenda kumsalimia mwanangu, atazaa watoto wengine ndio watakuwa watoto wetu na ndio tutawalea na kufurahia maisha.

Mtoto kama atakuja kumsalimia mama yake aje akiwa mkubwa ana akili timamu na anajua kuwa baba na mama hawaishi pamoja na ameanza kumuona mama ukubwani tena kwa kumtafuta.

Mambo ya kibwege bwege mimi sitaki pumbavu kabisa.
Aaa mkuu mimi namjua mtu mmoja alizaa na mdada mmoja ila hawakuoana. Akaja kuolewa na mtu mwingine na mashariti yake na kama yako.
Mtoto anakaa na Baba yake ila jamaa aliniambia ndogo ajamuona mama yake anamiaka kama 9 hivi anaongea nae tuu kwenye simu mara moja moja sana.

Anasema jamaa anamasharti makali kinoma.
 
Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Huo ushauri mzuri Kwa watoto wa wenzio. Je mwanao akitaka kuona Single mom utamsupport?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Singo maza anaolewa ikiwa kabur la mumewe linaonekana,mumewe kafungwa maisha,au zaid ya miaka 30,au mumewe mtu Wa taifa jingne Na hakuna mawasiliano, vingnevyo jiandae kisaikolojia Na uwe Na moyo haswa uweke misimamo haswa.

Pili ukioa singo maza kama mtoto mdogo akae kwa bibi yake huko hakikisha no mawasiliano hakuna kuona mtoto Wa kuonana Na mzaz mwenzio Na hizo Sheria mwambie kabla ya ndoa ukiona kakataaa tembea kabisa usikae.
KAMA SINGO MAZA KAKUBALI KUOLEWA NAWE BAS HUDUMA ZOTE ZA MTOTO WAKE NI ZAKO ILI UMBANE SWALA mawasiliano TATIZO LENU WALE WATOTO HAMUWAHUDUMII INA MFANYA ATAFUTE UPENYO KWA MZAZ MWENZIE NA HAPO NDIO UTATA UNAPOONZA.

UKITAKA KUOA SINGO MAZA HAKIKISHA MTOTO WAKE UNAMFANYA KAMA WAKO HUDUMA ZOTE HUWA WANAKOSA SABABU ZA KURUDI KWA WAZAZ WENZAO
 
Back
Top Bottom