Kwani mkuu embu twende taratibu.

Hisia zako zinakushauri umuoe, je AKILI yako inakushauri vipi?!
 
Tatizo lenu wanaume wengi wa humu mna jikutaga sijui kina nani kumbe wapuuzi tu,ivi yaan mnapenda kuropoka kuliko kufikir afu mnajikuta wasom kumbe hamna kitu,wanaume wa fb japo na baadhi wapo kule ila wanaakil kuliko humu japo mnadharau fb.
Afu atakae paniki poleee,ila ukwel ndio nishasema.
 
Na wewe ni single mother?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ni single mother?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hapana siyo single mother,Wala sina mtoto bado.Ila Kama mwanamke lazima nisifurahishwe na baadhi ya dhihaka za huku jukwaan.Then mtu kuwa single mother ni kwa aina nyingi vip walio fiwa na wanaume zao,au walio bakwa wakatelekezwa?,au unakuta mwanaume haelewek et waogope kuwaacha kisa wataitwa single mother?
 
SINA MKE ILA KUOA SINGLE MOTHER NI KUJICHIMBIA KABURI LAKO MWENYEWE.

NA HAKIKA UTAJUTIA SANA.
Afu ukitoka hapo unalalamika wanawake hawakutak πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Moyo wangu unampenda ana mapenzi ya dhati

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
inawezekana kweli unampenda, upendo huisha na kubaki akili pekee yake hapo ndipo majuto yaliko. ni aibu mwanaume kufanya maamuzi kwa kutumia moyo.
ukweli ni kwamba anakuonyesha mahaba ila kama baba mtoto yupo jiandae kisaikojia. muda ni hakimu mzuri. mimi ni mhanga wa single maza ilikuwa kidogo nimuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…