Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwani mkuu embu twende taratibu.Wadau hope mko poa
Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.
Mambo yanabadilika niombeeni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hisia zako zinakushauri umuoe, je AKILI yako inakushauri vipi?!