Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Tatizo lenu wanaume wengi wa humu mna jikutaga sijui kina nani kumbe wapuuzi tu,ivi yaan mnapenda kuropoka kuliko kufikir afu mnajikuta wasom kumbe hamna kitu,wanaume wa fb japo na baadhi wapo kule ila wanaakil kuliko humu japo mnadharau fb.
Afu atakae paniki poleee,ila ukwel ndio nishasema.
ni kweli mkuu asilimia kubwa akili zao zinashahabiana niliwahi kuwa nao kwenye mahusiano na wengine ni marafiki zangu. niliamua kuwa study kati ya ma single mother 50 nilio wa studyNdugu yangu nimekuita kwa hisia sanaa sio kwa ubaya hao watu huwa na tabia ya kujishusha na kujibebisha sana akiwa anataka kumshika mtu lakini nilichokuja kugundua 75% ya single mama akili zao zinafanana ,..utakuja kupigwa tukio hutaamini kabisaaa
Sasa nitaoaje mke wa mtu na wewe. Hebu acha utani.Afu ukitoka hapo unalalamika wanawake hawakutak [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pamoja na kujionea matokeo bado mwingine anajipeleka mwenyeweπ0:49
Hahahahahahaa
Na shemeji tena anaingiamo?Baada ya mda ataangalia akili yake inasemaje, Single Mama lazima:
1. Cheti cha kifo - Majina kama NIDA.
2. Picha ya kaburi - Majina kama NIDA.
3. Hakiki jina hospital aliyofia.
4. Hakiki picha linganisha na mtoto.
5. Hakiki kama hakuna shemeji.
Watu waliofuata moyo wengi walipotea.Chukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.
Angalia moyo wako wasemaje.
Na shemeji tena anaingiamo?
ππππ KwannPole na kazi, nikulipe kiasi gani hiyo avator uitoe mkuu
Inachekesha sana kwangu.. ulikua unawaza nn kuiwekaππππ Kwann
Ila huyo unaemtaka ni Single Mother wa Marehemu kadhaa aliowatoa[emoji848]..SINA MKE ILA KUOA SINGLE MOTHER NI KUJICHIMBIA KABURI LAKO MWENYEWE.
NA HAKIKA UTAJUTIA SANA.
Copy that overMedic... we need a medic ASAP!
Man down.. i repeat man down, do you copy?
We need immediate EVAC..!
Sikiliza moyo wako, fanya mambo kwa nafasi yako punguza kuji-submit sana, heshimu sana mtoto wa kufikia pia tambua mawasiliano ya baba na mtoto yawepo via mama, jiandae kisaikolojia kwa sababu ulijua kila kitu
Uko sahihi kabisa maana anaunganishwa na mtoto mwanadamu hawezi tenganisha labda kifo cha mmoja wao,mtoto,mama,au baba akae akijua na hiloPia aache kumlaumu dada wawatu na kumuwekea mazingira magumu ya yeye kuwasiliana na mzazi Mwenza kwa sababu yeye pia anahisa katika Maisha ya huyo MKE wake.