Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Tatizo lenu wanaume wengi wa humu mna jikutaga sijui kina nani kumbe wapuuzi tu,ivi yaan mnapenda kuropoka kuliko kufikir afu mnajikuta wasom kumbe hamna kitu,wanaume wa fb japo na baadhi wapo kule ila wanaakil kuliko humu japo mnadharau fb.
Afu atakae paniki poleee,ila ukwel ndio nishasema.

Pole na kazi, nikulipe kiasi gani hiyo avator uitoe mkuu
 
Ndugu yangu nimekuita kwa hisia sanaa sio kwa ubaya hao watu huwa na tabia ya kujishusha na kujibebisha sana akiwa anataka kumshika mtu lakini nilichokuja kugundua 75% ya single mama akili zao zinafanana ,..utakuja kupigwa tukio hutaamini kabisaaa
ni kweli mkuu asilimia kubwa akili zao zinashahabiana niliwahi kuwa nao kwenye mahusiano na wengine ni marafiki zangu. niliamua kuwa study kati ya ma single mother 50 nilio wa study
47 walionekana wana sex na max wao hasa wanapokutana kwenye maswala ya mtoto au mazingira yanayo wezesha kufanyika kwa ngono.

pia niligundua kupitia utafiti huo kwamba wanawake hao ambao ni ma single maza ni matapeli kwa waume wapya kwa kuwa wakutanapo na waume wapya hutumia nguvu kubwa kumlaumu ex wake ili kujiaminishia kwa yule mpya (bwege) kuwa hayuko na ex wake tena kumbe nyuma ya pazia mambo ni tofauti kabisa.
 
Inatakiwa uandae budget ya mazishi yako sisi tunachanga kwa wale wanaokufa vifo visivyo tarajiwa ila kwa wewe ambae umefata kifo unatakiwa uandae pesa ya mazishi.

Vinginevyo hatutapoteza nguvu kuchimba kaburi tutaenda kukutupa mto kagera
 
Baada ya mda ataangalia akili yake inasemaje, Single Mama lazima:

1. Cheti cha kifo - Majina kama NIDA.
2. Picha ya kaburi - Majina kama NIDA.
3. Hakiki jina hospital aliyofia.
4. Hakiki picha linganisha na mtoto.
5. Hakiki kama hakuna shemeji.
Na shemeji tena anaingiamo?
 
Hakuna mwanamke asiyeoleka
Wanaoshinwa kuwamiliki single mother ni wanaume wazembe, AMBAO hata wakiwaowa wasio single mother watagongewa tu.
 
Sikiliza moyo wako, fanya mambo kwa nafasi yako punguza kuji-submit sana, heshimu sana mtoto wa kufikia pia tambua mawasiliano ya baba na mtoto yawepo via mama, jiandae kisaikolojia kwa sababu ulijua kila kitu

Pia aache kumlaumu dada wawatu na kumuwekea mazingira magumu ya yeye kuwasiliana na mzazi Mwenza kwa sababu yeye pia anahisa katika Maisha ya huyo MKE wake.
 
Pia aache kumlaumu dada wawatu na kumuwekea mazingira magumu ya yeye kuwasiliana na mzazi Mwenza kwa sababu yeye pia anahisa katika Maisha ya huyo MKE wake.
Uko sahihi kabisa maana anaunganishwa na mtoto mwanadamu hawezi tenganisha labda kifo cha mmoja wao,mtoto,mama,au baba akae akijua na hilo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Una mda gan nae? Mwanzoni hua ya moto bwashee..kama hata mwez haujapita bas mtoto fundi huyo kakupa za shogo shugi huelewi afsaa!
 
Back
Top Bottom