Daaah nimesoma hizi comment zote nimeona hali ni mbaya ok nitajua cha kufanya

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
The patriot man kuna sifa hizi ambazo kama unataka kumuoa single mother lazima awe navyo

1. Awe vizuri kiuchumi, wapo single mother watakao kupenda kwasababu ya njaa zao Ili kupata unafuu wa Maisha

2.Awe amepata mimba kipindi yupo shule (akili yake haija komaa) sio tofauti na hapo

3.aliyempa mimba awe amefariki.

Je huyo single mother wako ana hizi sifa?
 
kuendeshwa na hisia ni mbaya sana. maana lazima hisia hufika mwisho na akili humkaa mtu sawa! na hapo ndipo penye majuto makuu
 
Acha uoga je kama baba mtu yupo mbali na hana time na mtoto ni kama ametelekeza mwanamke na mtoto unadhani baba mtu atamuonea wapi huyo mwanamke?..
 
Thibitisha hilo kwanza. Single mum, kufa mara ya pili sitaki tena maana nimefufuka. Mungu awatangulie tu, ila sitamshauri ndugu au jamaa yangu wakaribu ajenge mahusiano nao.
pole sana mkuu, nami yalinikuta makubwa! nadhani kwa tukio lile na kwa jinsi alivyokuwa amenimanishia kuja kuwa na mahusiano serous na single mother ni ngumu sana labda nipige na kusepa.
 
kiukweli nami nilishauriwa nikashupaza shingo. hakika huku duniani kuna watu wana uzoefu na wengine wanamacho ya rohoni.
tujifunze kusikiliza ushauri wa watu tunawaamini angalau75% pia Mungu hutumia vinywa vya watu kuongea na sisi.
 
Hapana mkuu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Namba 3 , NAKAZIA
 
Kuoa single mother Ni Moja Kati ya maamuzi magumu ambayo mwanaume anaweza fanya.

Jamaa amejichanganya sana kwa hiyo wanazengo hatuna budi kukuombea tu.
 
Acha uoga je kama baba mtu yupo mbali na hana time na mtoto ni kama ametelekeza mwanamke na mtoto unadhani baba mtu atamuonea wapi huyo mwanamke?..
Wewe wanaume sisi tunawivu sana akiona kaolewa yupo na kidume kingine anajisogeza
 
Tulishakubaliana kuhusu single mothers pamoja na kuishi kwa mwanamke wewe ulikuwa wapi?
 

Harafu wewe ndie single mother mwenyewe sasa ambae unataka kuolewa, sisi tunakusiliba kwa mjuba [emoji23][emoji23] acha makasiliko dodogy wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…