nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kwa mjane...ni kweli kuna barka fulani pia yatima...Hao wengine tunakuachia na mungu wako.Kuiga hakufai, akili za kuambiwa mix na zako, sio kila single mother ni nuksi, msikilize elewa shida yake, tafuta ukweli, ukiridhika mchukue, au msaidie utaona matokeo yake, na ukimchukua usibweteke endelea kuomba Mungu akupe maono ya rohoni, punde Mungu humlipa mja wake.
Usifuate mkumbo sema na Mungu wako.
Wadiz