Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Habari! Kadri Miaka inavyoenda kumekuwa na ongezeko kubwa la Single mother's. Hapa Kuna makundi mawili ya Hawa single mothers, wengine wapo vizuri kiuchumi na wengine wanabangaiza. Je hili kundi la Hawa single mothers kuwa ni Moja ya Sababu ya kuvunjika ndoa nyingi na kuendelea kuongezeka tena masingle mothers wapya? Je masingle mothers wanaweza kuishi bila kuwa na uhitaji na Mwanaume? Obviously No! Wanasema every woman need a man, where is man come from? Sasa kama wanahitaji Mwanaume je wanaweza kudate na vijana wa under 30? Vijana wengi wa kiume above 30 wengi ni waume za watu. Bado naendelea kufikiria yaani single mothers ana watoto 3 bado anataka kuzaa na Mwanaume mwingine mpya (penzi jipya). Dunia Ina viroja na raha. Nini mtazamo wako.
feminism imechukua nafasi ya ndoa
 
Back
Top Bottom