Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Sikalili best! Andaa maswali waliuze wanawake kama 50 irresponsible man yupoje. Mimi nipo pale nasubiri najibu..
Jifunze kwanza kuandika mkuu ndipo tuanze kuijadili hili
Sasa najadili vipi namtu hajui tofauti ya R na L
 
mpaka idadi ya wadada wanaojipangia vyumba au nyumba kabla ya kuolewa itakapopungua.
 
Ndoa ni ya mwanamke, ukiona haolewi ujue ana kasoro. Kimbia
Habari! Kadri Miaka inavyoenda kumekuwa na ongezeko kubwa la Single mother's. Hapa Kuna makundi mawili ya Hawa single mothers, wengine wapo vizuri kiuchumi na wengine wanabangaiza. Je hili kundi la Hawa single mothers kuwa ni Moja ya Sababu ya kuvunjika ndoa nyingi na kuendelea kuongezeka tena masingle mothers wapya? Je masingle mothers wanaweza kuishi bila kuwa na uhitaji na Mwanaume? Obviously No! Wanasema every woman need a man, where is man come from? Sasa kama wanahitaji Mwanaume je wanaweza kudate na vijana wa under 30? Vijana wengi wa kiume above 30 wengi ni waume za watu. Bado naendelea kufikiria yaani single mothers ana watoto 3 bado anataka kuzaa na Mwanaume mwingine mpya (penzi jipya). Dunia Ina viroja na raha. Nini mtazamo wako.
 
Single mama wengi ni kutokana na :-
Mosi, kuzaa bila kutarajia/kupanga,
Pili, kukurupukia ndoa bila kumjua vizuri mwanaume
Tatu, tamaa za kuzaa na wenaume wenye uwezo au KAZI Fulani ukitegemea atakuoa au utafaidika na mali aliyonayo .
Nne , wanaume kukimbia majukumu ya kindoa na kifamilia mfano kukataa kumoa au kumtunza mwanamke uliezaa nae
Sita, biashara ya uchangudoa, baadhi wamejikuta wakipata mimba na kuwa masingle mama
Saba, Wanaume kukimbia familia ZAO na kumwacha mwanamke anahangaika na watoto
Nane,. Kufiwa na mume ungali kijana
Mwisho ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe, Kuna baadhi ya wanawake wanapenda kuwa na watoto lakini sio kuolewa. Mfano , wafanyabiara watumishi waserikali wenye vyeo vikubwa na wanasiasa
 
Wanaume hawajui kutofautisha jamboo.
Leo nawaelewesha jambo hili na nikuhusu SINGLE MOTHERS.
kuna muda na pitia post nyingi na niza single mothers.
Hawa single mothers ni wakina nani??
Single Mothers ni wanawake wanaoishi na watoto /mtoto bila baba kupata malezi ya baba au kuishi na baba karibu.
Swali linakujaje kwanini hao watoto hawakuzwi na baba?
Utakuta alifariki Au waliachana kwa matatizo yaliyojitokeza kama haya.
Mwanaume ni mlevi anampiga mkewe au mwanaume malaya anahatarisha afya ya mkewe mke akaamua kuondoka nyumbani.
Ama mwanamke hapewi pesa ya matumizi na anateseka kulea familia na mhusika ndani ambaye ni baba na anauvaa uhusika huo kuitunza familia sasa ndio anachukua jukumu lakwenda kukaa na watoto wake.
Ama mwanamke yupo busy au ni malaya hajatulia na ameona kwa mumewe hakumpi uhuru wakuishi atakavyo so sualahili la masingle mothers wapo kwenye makundi tofauti mengi.
Kundi jingine niliko hivi mwanadada au msichana anamahusiano mazito na mume wa mtu na kwa mapenzi maziti akazaliwa mtoto na kwasababu zilizonje ya uwezo mwanaume anatelekeza mtoto na mama ake.
Kundi jingine shuleni labda ni chuo au secondary au msingi wanafunzi wamepeana mimba nakwasababu ya aibu mzazi wa msichana anamfukuza msichana na anatelekezwa na babe wake au kijana na kulea peke yake so ndio hivyo.
Kundi jingine ni tamaa tu na ujana huo unajikuta umepata mimba tena kwa group au watu kadhaa kukuingilia nakujikuta mjamzito.
Kundi jingine ulikuwa unajiuza na hujatulia kila mtu wako na ukapatikana kwa mmoja akafunga goli ukawa na mimba ukalea mwenyewe.
Kundi la mwisho ni wale ving'ng'nizi hupendwi unakuja tu hadi unaona kutegesha mimba ndio dili mwisho wasiku unatemwa unakuwa single mother.
Kwa hiyo hayo makundi ndio yanaleta SINGLE MOTHERS .

KWANINI HAOLEWI NA SINGLE BOYS
Kwasababu muda mwingi wanadedicate maisha yao kwa watoto wao.
Hata ukioa mwanadada asiyenamtoto akija kuwa na mtoto muda wake mwingi mapenzi yake ni mtoto hiyo ndio chanzo kingine.
Na pili wao huwa wameshazoea kwamba urafiki kwa wanaume ni ule ambao ni wakupewa matumizi wakidhi hitaji au mahitaji ya familia yake hata akiwa anakazi hawezi kutotimiza kila jambo kwa wakati.
Kuna waliozoea kuwa hii ndio biashara yake na huko ndio kipato kipo kwa maana aliteseka kukuzamwenyewe na anaendelea kuhudumia familia.
Nanirahisi kujisimamia ila sio rahisi kukataa .
Tayari kashajijengea kuolewa ni ngumu kujikubali asilimia kubwa imepotea yaani kujikuta kuona kuwa atapata mtu sahihi wamaisha yake.
Natena hujitafutia risiki yake kwa nguvu kubwa ili wanawe wasipungukiwevna chochote ila kwa kuolewa wanaona sio rahisi kwasababu ya familia tayari anayolea.
Masingle mothers wao akili zao ni jinsi gani yakutafuta hela ya kuitunza familua basi.
Kuolewa ni last option kwasababu anamajukumu mengi mno.
Yeye ndio kila kitu kwenda mikono mitupu kwao nikama umekuja kwa paka bila maziwa.
Kwa maana anategemewa
KUPATA WENZI WA MAISHA
Single mothers walionaumri sahihi wakuolewa huolewa na wale masingle fathers hapo ni rahisi kuishi kwa furaha kwasababu anaolewa na mtu ambaye wanamaisha yanayoendana.
Ila kuna baadhi huingia ndani nakuwatesa watoto wa yule baba .
Ila masingle boys huwakata masingle mother maana wanaona kama ni mzigo kwao ili hali ni wao ndio waliowafanya wawe hivyo.
Unakuta umemzalisha halafu unaenda kuoa mwingine na huku ulimwaribu mwenyewe.
Ujue Mungu aliumba adam na eva wajaze ulimwengu .
Ila sio kuwatelekeza mama na mtoto nakwenda kuoa mtu ambaye hajazaa hiyo sio sawa.
Umeshamwaribu kisaikologia halafu unaenda kuoa kipya sasa hizo laana mnazipeleka wapi?
Oeni huyo huyo uliyemzalisha mnakaa kuwasema humu eti hawafai nahuku ni product mlizoziproduce wenyewe limtu halijaoa liko natafuta mke wakuoa niko serious ila na mtoto niliyezaa nje kwank umeoa hapo ulipo??
Yaani mnakera oeni hao hao mliowachezea kama mpira sio mkaleta kipya iliingiaje si siku moja na ndoa kwani siku ngapi mmengewaoa wskashindikana hapo sawa .
Nashangaa sana mnaoa watu wengine halafu mnapata shida tena.
Wanaume nyie ni stress hivi unaoa kipya yule aliyekuzalia anajisikiaje ??
Kama mfano joti kazaa na mtu mwingine kaoa mwingine.
Imesemekana hivi oaneni ili mkaijaze dunia haya nyie wawapa wenzenu mimba kulea hamtaki ila kuoa mnaoa mnashughuli mseme leo shida yenu iko wapi kuoa mwanamke uliyezaa naye??
Tamati ni hii wanaume nyie ndio mmecreate single mothers penda msipende mngetomba kwa akili hizi shida za kuwatusi humu ndani masingle mothers yasingekuwepo.
Unatarajia kumla single mother bila pesa unaakili kweli watoto wake wale nini shubamit nyie wanaume ni watu wenye roho ngumu sana.
Mimi nimewaelewesha wanaume kuhusu hili suala ambalo shida ni nyie.
Mbn kama Imla hii
 
Tatizo kubwa la Single Mother's hawaaminiki. Wamejawa ubinafsi sana. Hata uwape moyo wako wote, watakiona hufai na gala tu. Hawajali hisia ya mtu.

Mie sikua naamini maneno ya humu JF, nipo busy na single Mom nawaona hawa jamaa wa humu kama vile wana roho mbaya tu. Nilimuweka exceptional sana. Nilimuhudumia kama mke na mwanae huyo kumsomesha shule nzuri kwa kipato changu, chekechea kulipa 1.25m kwa mwaka niliona inatosha kwa msaada kwa huyu single Mom maana tulikubaliana kuoana na kutengeneza familia.

Viwanja nikamwambia andika kwa majina yako( nilikua namtumia pesa mie na chagua kiwanja na ukubwa ninaoutaka). nikajenga kiwanja kimoja nyumba kubwa ikabaki kuezeka tu. Nililenga kumuwezesha asahau machungu ya huyo mzazi mwenzie ili nimuoe akiwa na free mind set. Sikujua kama najenga kaburi la mahusiano yetu.

Saiz kageuka kudanga ili amalize nyumba, napo anakwama maana nadhani anakodanga hawamuwezeshi vya kutosha. Ananisifia bla blaaa nyingi na kuniomba tuwe marafiki kama kuoana sitaki. Nimsamehe maana hajanite dear maovu tu katika mahusiano yetu. Ila nikiwaza kipindi anafanya visa na maonyo takribani mwaka mzima nambembeleza aachane na hayo hasikii na ujeuri juu nachoka kabisa.

Nashauri kijana usiwe mbishi kama mimi. Single mother mfanye tu awe recreational instrument. Sio partner.
 
Tatizo kubwa la Single Mother's hawaaminiki. Wamejawa ubinafsi sana. Hata uwape moyo wako wote, watakiona hufai na gala tu. Hawajali hisia ya mtu.

Mie sikua naamini maneno ya humu JF, nipo busy na single Mom nawaona hawa jamaa wa humu kama vile wana roho mbaya tu. Nilimuweka exceptional sana. Nilimuhudumia kama mke na mwanae huyo kumsomesha shule nzuri kwa kipato changu, chekechea kulipa 1.25m kwa mwaka niliona inatosha kwa msaada kwa huyu single Mom maana tulikubaliana kuoana na kutengeneza familia.

Viwanja nikamwambia andika kwa majina yako( nilikua namtumia pesa mie na chagua kiwanja na ukubwa ninaoutaka). nikajenga kiwanja kimoja nyumba kubwa ikabaki kuezeka tu. Nililenga kumuwezesha asahau machungu ya huyo mzazi mwenzie ili nimuoe akiwa na free mind set. Sikujua kama najenga kaburi la mahusiano yetu.

Saiz kageuka kudanga ili amalize nyumba, napo anakwama maana nadhani anakodanga hawamuwezeshi vya kutosha. Ananisifia bla blaaa nyingi na kuniomba tuwe marafiki kama kuoana sitaki. Nimsamehe maana hajanite dear maovu tu katika mahusiano yetu. Ila nikiwaza kipindi anafanya visa na maonyo takribani mwaka mzima nambembeleza aachane na hayo hasikii na ujeuri juu nachoka kabisa.

Nashauri kijana usiwe mbishi kama mimi. Single mother mfanye tu awe recreational instrument. Sio partner.
😂😂😂😂Haki nimecheka apa mpk mbavu zinauma apa single mama mimi tena ninye kutoka apa mpka mwenge labda ili nimuoe
 
Back
Top Bottom