Kwa mjane...ni kweli kuna barka fulani pia yatima...Hao wengine tunakuachia na mungu wako.
 
Upwiru wako ndio uwapelekee msaada wajane kweli?
 
Dogo oa usije na nyuzi ndeeeeefu yakuwalaani hapa,,,,,KWENYE WATOTO ZENU KUNA WATOTO ZETU
 
Mimi naona ni bora kuoa single mother kuliko binti (wa mchongo) alietoa mimba kibao!

Kama sio bikira, ni kheri mara alfu uoe tu single mother.
Wote vibonde juu ya vibonde! Single mother kaishapoteza sifa ya kuwa mke kwani tayari ni mke wa huyo aliyemzalia! Mwanaume anayejitambua huwezi kuoa Single mother! Wengi tulioingia kwenye mtego huo mziki wake wanaujua! Kuoa aliyetoa mimba pia ni balaa juuu ya balaa! Unaoa muuaji na laana yake ndani ya familia sio ya kitoto! Suala la kuoa kwa mwanaume ni gumu kuliko maelezo! Ni rahisi kutafuta utajiri ukaupata kuliko kupata mke sahihi! Tatizo la migogoro mingi ya ndoa ni kuungana na mtu asiye sahihi! Kwa wakristo na wanaoamini Biblia, Mungu alisema clearly sio mara moja au mara mbili ya kwamba "mke mwema hutoka kwa Bwana". Unataka mwanamke? Mtafute Mungu kwanza!
 
Mkuu agiza mishikaki popote pale, atakuja kulipa Bossi la dp.

Sio kuoa tu ila kwa lolote, kwanza mtafute MUNGU, Utafanikiwa.
 
SUPER FUCKING FACTS
 
Mimi naona ni bora kuoa single mother kuliko binti (wa mchongo) alietoa mimba kibao!

Kama sio bikira, ni kheri mara alfu uoe tu single mother.
Utajuaje ametoa mimba broo, unadhani ukimuuliza ndo atakwambia🤣🤣
Kuna wadada wengi tuu mitaani na vyuoni wanatoa mimba bila wazazi na ndugu kujua ndo aje akawambie ww mume wake mtarajiwa🤣
Wanawake hawa wana siri nyingi sana wanatunziana.
 
Dhambi ya kutoa mimba haifichiki! Huyo unayetaka kumuoa ukimuingia vizuri utajua tena kukutamkia mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…