Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Hasa kwa wale waliotokea familia za kimaskini na baba wa mtoto kala kona, naongea kwa ushahidi kabisa kuna uhakika wa asilimia 90 kulala na single mother siku hio hio.

Mara nyingi huwezi kujua ni single mothers sababu bado ni umri mdogo bado ni pisi kali tu, ila ndio hivo tena ukiingia line suala la kupewa mzigo ni kawaida sana,

Mzigo alionao single mother ni mzito sana, tafadhali inapotokea unaweza kugundua shida yake, msaidie bila kutaka chochote
[emoji3][emoji3], wajuba wamekuelewa.
 
Single mama wengi ni viburi na jeuri ndo maana wanaachika ninapoandika apa yupo mmoja ana watoto wawili anamsumbua jamaa yangu naona huu mwaka hautaisha ataongeza list ya single mama

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wana-pyschological disorders. Wametendwa wakatendeka ndio maana wanaji-behave like that. Kila mwanaume wanamwona ni wale wale.

Tuwa-heal psychologically kwa maneno mazuri. Hata wa majuu ni shida, hawana tofauti.
 
Yaani tuwasaidie tu aisee, hiyo ilikuwa zamani saivi nipe nikupe
 
Back
Top Bottom