Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHuyo uliye mtaja ni mmojawao?
Unasaliti wanawake wenzako😂Hajadanganya ni kweli [emoji23][emoji23][emoji2222]
Unasaliti wanawake wenzako[emoji23]
👊na hii hichochea kila mtoto kua na baba yake
[emoji3][emoji3], wajuba wamekuelewa.Hasa kwa wale waliotokea familia za kimaskini na baba wa mtoto kala kona, naongea kwa ushahidi kabisa kuna uhakika wa asilimia 90 kulala na single mother siku hio hio.
Mara nyingi huwezi kujua ni single mothers sababu bado ni umri mdogo bado ni pisi kali tu, ila ndio hivo tena ukiingia line suala la kupewa mzigo ni kawaida sana,
Mzigo alionao single mother ni mzito sana, tafadhali inapotokea unaweza kugundua shida yake, msaidie bila kutaka chochote
Ulikuwa hujui kuwa mie ni singlemom mkuu?Huyo uliye mtaja ni mmojawao?
Experienced dude huyo.umelala na wangapi mpaka umeona kuna uhakika huu??
Wana-pyschological disorders. Wametendwa wakatendeka ndio maana wanaji-behave like that. Kila mwanaume wanamwona ni wale wale.Single mama wengi ni viburi na jeuri ndo maana wanaachika ninapoandika apa yupo mmoja ana watoto wawili anamsumbua jamaa yangu naona huu mwaka hautaisha ataongeza list ya single mama
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndio hao wanaokujibu.naomba wajibu wenye experience tu[emoji23]
[emoji3][emoji3]warahisi sana, yaani sana
na utapewa kila siku
Kwa kupewa.Wewe umejuaje [emoji2][emoji2][emoji23]
Muwe macho.NAKAZIA
Kingine ni ruba hawa watu, wameshindwa kukaa na wazazi wenzao wanajifanya wajuaji eti wawatulize wapenzi wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa upambanaji.Mleta mada hajakosea kabisa
Muda wote wanaongea peke yao bila kusemeshwa. Ni wakali pia wamevurugwa.Kulea watoto siyo ishu ya kitoto,sisi wenye familia tumeoa tunajua,Sasa imagine huyo mwanamke yupo peke yake
[emoji3][emoji3], ni shidaaaaNi wapuuzi mno hao hawana maana