Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Niliwahi tongoza binti mmoja kumbe ni single maza na hakusema....kwa kuwa alikua na getto ikabidi anipange nikamchakate nimpe elfu 10,ile nimeingia getto kwake nikakuta katoto ka kike kamelala nikamwuliza akasema ni mwanae aisee hamu ya kumchakata ilikata kabisa nikampa ile ten nikasepa maana nilimhurumia sana yule mtoto.........Niliapa sitakuja mwachia mwanamke mwanangu ni fedheha kwa mtoto na mara nyingi inabid mama yake ajirahisishe ili siku zisonge......Tusiwasimange,Tuwasaidie tu wakuu
 
Wana-pyschological disorders. Wametendwa wakatendeka ndio maana wanaji-behave like that. Kila mwanaume wanamwona ni wale wale.

Tuwa-heal psychologically kwa maneno mazuri. Hata wa majuu ni shida, hawana tofauti.
Mbaya zaidi wanawapandikiza sumu binti zao nao at the end nao ndoa zinawashinda
 
Niliwahi tongoza binti mmoja kumbe ni single maza na hakusema....kwa kuwa alikua na getto ikabidi anipange nikamchakate nimpe elfu 10,ile nimeingia getto kwake nikakuta katoto ka kike kamelala nikamwuliza akasema ni mwanae aisee hamu ya kumchakata ilikata kabisa nikampa ile ten nikasepa maana nilimhurumia sana yule mtoto.........Niliapa sitakuja mwachia mwanamke mwanangu ni fedheha kwa mtoto na mara nyingi inabid mama yake ajirahisishe ili siku zisonge......Tusiwasimange,Tuwasaidie tu wakuu
uzi mzima wewe ndo umeongea kitu chenye mashiko
 
Yaani inasikitisha sana na kuudhi. Tuwapende tu.
 
Ndo hivyo nina Jiran yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,

Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
 
Hakuna uhalisia wowote, ni percetions za watu tu.

Kama mwanamke yupo na jamaa ovyo aendelee kuvumilia ujinga? Ni bora asepe ili kuepukana na madhara yajayo.

Sio kila single mother alipenda awe hivyo, kuna kisababishi. Kwa hiyo tuwapende kama dada/mama/shangazi zetu.

Mbona kuna wanaume wa hovyo sana siku hizi? Tusijifanye hatuwaoni na maadili kengeufu yao siku hizi.

Tuangalie pande zote sio single mothers tu.
😍
 
Wasaidie. Hawa viumbe most of them are innocent , maana Kama sisi vijana hatuna mke Wala mtoto unapata 500k kwa mwezi lakini bado unaishi kwa kuunga je kwa mwanamke jobless single mama lazima atauza uchi endapo Kama Hana backup from any sources. It pain😭
 
Back
Top Bottom