mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
umeongea kwa hisia sana mkuuWekeni tu sheria single mothers wauwawe kunyanyapaa kila siku imetosha sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeongea kwa hisia sana mkuuWekeni tu sheria single mothers wauwawe kunyanyapaa kila siku imetosha sasa
Perceptions tu, uhalisia zero.Single mama uzaa single mama
Mbaya zaidi wanawapandikiza sumu binti zao nao at the end nao ndoa zinawashindaWana-pyschological disorders. Wametendwa wakatendeka ndio maana wanaji-behave like that. Kila mwanaume wanamwona ni wale wale.
Tuwa-heal psychologically kwa maneno mazuri. Hata wa majuu ni shida, hawana tofauti.
Muwe macho.
uzi mzima wewe ndo umeongea kitu chenye mashikoNiliwahi tongoza binti mmoja kumbe ni single maza na hakusema....kwa kuwa alikua na getto ikabidi anipange nikamchakate nimpe elfu 10,ile nimeingia getto kwake nikakuta katoto ka kike kamelala nikamwuliza akasema ni mwanae aisee hamu ya kumchakata ilikata kabisa nikampa ile ten nikasepa maana nilimhurumia sana yule mtoto.........Niliapa sitakuja mwachia mwanamke mwanangu ni fedheha kwa mtoto na mara nyingi inabid mama yake ajirahisishe ili siku zisonge......Tusiwasimange,Tuwasaidie tu wakuu
Yaani inasikitisha sana na kuudhi. Tuwapende tu.Niliwahi tongoza binti mmoja kumbe ni single maza na hakusema....kwa kuwa alikua na getto ikabidi anipange nikamchakate nimpe elfu 10,ile nimeingia getto kwake nikakuta katoto ka kike kamelala nikamwuliza akasema ni mwanae aisee hamu ya kumchakata ilikata kabisa nikampa ile ten nikasepa maana nilimhurumia sana yule mtoto.........Niliapa sitakuja mwachia mwanamke mwanangu ni fedheha kwa mtoto na mara nyingi inabid mama yake ajirahisishe ili siku zisonge......Tusiwasimange,Tuwasaidie tu wakuu
Atakuwa dungadunga wa kitaifa huyoumelala na wangapi mpaka umeona kuna uhakika huu??
Ndo hivyo nina Jiran yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,Niliwahi tongoza binti mmoja kumbe ni single maza na hakusema....kwa kuwa alikua na getto ikabidi anipange nikamchakate nimpe elfu 10,ile nimeingia getto kwake nikakuta katoto ka kike kamelala nikamwuliza akasema ni mwanae aisee hamu ya kumchakata ilikata kabisa nikampa ile ten nikasepa maana nilimhurumia sana yule mtoto.........Niliapa sitakuja mwachia mwanamke mwanangu ni fedheha kwa mtoto na mara nyingi inabid mama yake ajirahisishe ili siku zisonge......Tusiwasimange,Tuwasaidie tu wakuu
😍Hakuna uhalisia wowote, ni percetions za watu tu.
Kama mwanamke yupo na jamaa ovyo aendelee kuvumilia ujinga? Ni bora asepe ili kuepukana na madhara yajayo.
Sio kila single mother alipenda awe hivyo, kuna kisababishi. Kwa hiyo tuwapende kama dada/mama/shangazi zetu.
Mbona kuna wanaume wa hovyo sana siku hizi? Tusijifanye hatuwaoni na maadili kengeufu yao siku hizi.
Tuangalie pande zote sio single mothers tu.
Wauwawe tena aisee... kuna waliojikuta single mother wao bila kupenda..Wekeni tu sheria single mothers wauwawe kunyanyapaa kila siku imetosha sasa
Maisha yamenifunza kutolaumu mtu na kuwa na akiba ya manenouzi mzima wewe ndo umeongea kitu chenye mashiko
kabisa mkuu huu ndio utu uzimaMaisha yamenifunza kutolaumu mtu na kuwa na akiba ya maneno
Wanaume baadhi tumechangia mno hawa singo maza kushamiri...hatutaki majukumuYaani inasikitisha sana na kuudhi. Tuwapende tu.
Sema wanaume tumekua watu wa kukimbia majukumukabisa mkuu huu ndio utu uzima
Asante sana....🙏Hongera kwa upambanaji.
Acha tu.....na unakuta baba mtoto yupo anadunda town hajui mwanae anapitia masaibu yapi....Ndo hivyo nina best yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,
Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
haya mambo ni complicated sana mkuu....Sema wanaume tumekua watu wa kukimbia majukumu