Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Ukisoma mambo humu ukasikia kila mara kuhukumiwa, ni kheri usiingie humu kabisa. Biblia inasema, yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya staha, yoyote yaliyo safi, yoyote yenye kupendeza, yoyote yenye sifa njema, ukiwapo wema wowote, ikiwapo sifa nzuri yoyote yatafakarini hayo.

Kama jambo linakuumiza kila mara usiwe karibu nalo. Kuna watu wa kila kariba humu. Unayajua uliyoyapitia, iwe ulikosea iwe ulikuwa huna kosa, kama uko tayari kusonga mbele na kuishi katika amani, jisamehe na inuka tena. Hakuna anayekujua zaidi ya wewe dearest. Usihold grudge against anybody, struggle kuwa the best version of you every single day.

Afu kama vipi, acha na kusoma hizi mada kwa ajili ya afya ya moyo na akili yako. Ni hilo tu.
Hongera japo umeongea kwa uchungu.
 
NAKAZIA

Kingine ni ruba hawa watu, wameshindwa kukaa na wazazi wenzao wanajifanya wajuaji eti wawatulize wapenzi wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nawatetea kua sio wote...kuna moja ninaushahidi nao. .yeye aliolewa najamaa anapesa ile mbaya...kumbe mume anatembea na mama yake. .mkekujakufahamu akawaambia familia yake nakuondoka kwa mume wkt huo yeye mjamzito. .amejifungua salama dada watu. ..mumehajawahi mtafuta mke walakujua anaendeleaje. ..almoat 10yrs sasa. ..mtoto nimkubwa sasa ilademu anamsela tu yupo nae mwingine anampoza dada
 
Mnawasema mtafikiri nyie sio malaya,,
Mnawasema mtadhani hizo mimba walijipa wenyewe, wengine mna tabia mbovu mno kuliko hizo mnazowasemea,,
 
Ndo hivyo nina Jiran yangu ana mtoto wa kiume 6yrs na anaingiza madanga analala nao na mwanae,

Sasa huyo mtoto anatabia chafu kumbe kana tizama vile anavyofanywa mama yake, kana wafanyia wenzie
Kuwafanya nini ? Mbona habari nusu nusu we binti wa kiislamu . Ongea tuelewe bwana
 
Mm nawatetea kua sio wote...kuna moja ninaushahidi nao. .yeye aliolewa najamaa anapesa ile mbaya...kumbe mume anatembea na mama yake. .mkekujakufahamu akawaambia familia yake nakuondoka kwa mume wkt huo yeye mjamzito. .amejifungua salama dada watu. ..mumehajawahi mtafuta mke walakujua anaendeleaje. ..almoat 10yrs sasa. ..mtoto nimkubwa sasa ilademu anamsela tu yupo nae mwingine anampoza dada

Ni huyo, lakini wengi ni hao toatoa bila tozo [emoji1787][emoji1787]
 
Haya mambo tunasababisha wanaume! hakuna single mother bila single father, tuwaheshimu dada zetu unless mnataka waanze kufanya abortion au kutupa watoto
 
Inasikitisha sana,jsmani wadada,kama una njia yoyote halali,ya kukwepa kuzaa kabla ya ndoa,zingatia.Nina dada,pamoja na kumsihi awe making,ila kazalia nyumbani,yàani angejua mtazamo wangu na baadhi ya wanaume juu ya wadada wa aina hiyo,inaniumiza kwakweli.Mjitunze.
 
The problem of single mothers wengi wamezaa na wanaume sio sahihi kitaalamu wanaitwa vijana watukutu ,Mr I don't care au bad boys ila wanawake wengi ndio wanaume wanaowapenda kwa iyo mwanaume usio single mama piga pita hivi
 
Back
Top Bottom