Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Hakuna mwanamke asiyeoleka
Wanaoshinwa kuwamiliki single mother ni wanaume wazembe, AMBAO hata wakiwaowa wasio single mother watagongewa tu.

😀😀

Unaongea vitu viwili tofauti. Kugongewa na kuoleka wapi na wapi.

Huwezi mmiliki Mwanamke asiyekupenda, hivyo ili ummiliki Mwanamke ni lazima akupende yeye mwenyewe na haina uhusiano na umahiri WA mwanaume mwenyewe.
 
Kwamba ukizaa naye kakupenda na hawezi kukuacha ama?
 
Ila huyo unaemtaka ni Single Mother wa Marehemu kadhaa aliowatoa[emoji848]..
% kubwa ya mwanamke aliyetoa mimba anachuki kubwa mno na mwenye mimba husika. Matarajio ya kukumbushia ni chini ya 5% ila aliyezaa anamapenzi makubwa mno na mzazi mwenzie. Uwezekano wa kukumbushia ni zaidi ya 90%. Ukumbuke hofu kubwa hapa ni mzazi mwenzie na si kingine
 
Hapana siyo single mother,Wala sina mtoto bado.Ila Kama mwanamke lazima nisifurahishwe na baadhi ya dhihaka za huku jukwaan.Then mtu kuwa single mother ni kwa aina nyingi vip walio fiwa na wanaume zao,au walio bakwa wakatelekezwa?,au unakuta mwanaume haelewek et waogope kuwaacha kisa wataitwa single mother?
Kufiwa na mme tuna jina lake "Mjane (Widow)" sio single mother. Huyu wa hivi risk namba 3 unaweza kuikwepa bora mjane kuliko single mother.

Kubakwa na kutelekezwa sawa huyu ni single mother.

Lakini ukweli kuna risk zinakuwepo kuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto japo hazina utafiti rasmi ila tunaziona kwenye jamii kwa ndugu, marafiki walioanza moja bila

1 Kwanza mtoto akijua wewe sie baba yake mzazi hata kama wewe majukumu ya baba yake mzazi ulibeba lazima utakutana na vitu kama "kwanza wewe sio baba yangu" (inauma sana hii kauli), ukimrekebisha kosa utaonekana humtaki.
2 Unakuta mwanamke ana watoto wawili baba tofauti (na wapo tunawaona wa hivi) lakini yuko single baba wote hawako nae lazima upige alama ya kuuliza kwenye hii aina ya mwanamke na wengi huwa wanakuwa na shida kutokutulia.
3 Pia kuna risk ya mwanamke kuendeleza mahusiano na baba mtoto.
4. Mapenzi na wewe huwa ni kwa ajili ya maslahi yake na mtoto.

NB: Sio wote wako hivi wapo wanao tulia

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sasa nitaoaje mke wa mtu na wewe. Hebu acha utani.

Hivi unaweza jenga nyumba kweye kiwanja cha watu na wewe ukasema unanyumba kweli
Kwan ma single mother wote ni wake za watu?
 
Kufiwa na mme tuna jina lake "Mjane (Widow)" sio single mother. Huyu wa hivi risk namba 3 unaweza kuikwepa bora mjane kuliko single mother.

Kubakwa na kutelekezwa sawa huyu ni single mother.

Lakini ukweli kuna risk zinakuwepo kuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto japo hazina utafiti rasmi ila tunaziona kwenye jamii kwa ndugu, marafiki walioanza moja bila

1 Kwanza mtoto akijua wewe sie baba yake mzazi hata kama wewe majukumu ya baba yake mzazi ulibeba lazima utakutana na vitu kama "kwanza wewe sio baba yangu" (inauma sana hii kauli), ukimrekebisha kosa utaonekana humtaki.
2 Unakuta mwanamke ana watoto wawili baba tofauti (na wapo tunawaona wa hivi) lakini yuko single baba wote hawako nae lazima upige alama ya kuuliza kwenye hii aina ya mwanamke na wengi huwa wanakuwa na shida kutokutulia.
3 Pia kuna risk ya mwanamke kuendeleza mahusiano na baba mtoto.
4. Mapenzi na wewe huwa ni kwa ajili ya maslahi yake na mtoto.

NB: Sio wote wako hivi wapo wanao tulia

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ww kidogo umeongea point,na single mama ninao watetea Mimi hapa ni wale wenye misimamo and not else
 
Namba 3 na namba 4, zilitakiwa ziwejuu kabisa huko
 
Chukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.

Angalia moyo wako wasemaje.
Unasema aangalie moyo kwamaana kwamba asikilize hisia, kwahiyo siku zikiyeyuka ampe mama wa watu visa vya kumuumiza. Usije kuwaza kwa hisia kama dada zetu, wakina Pele na Will Smith wamesahaulika hadi kwa mafanikio yao bali walivyoaibishwa na wanawake tu. Akili kichwani.
 
Achana na watu wa hapa ndani wote wanamiliki single maza pisi kali kweli kweli.
Thibitisha hilo kwanza. Single mum, kufa mara ya pili sitaki tena maana nimefufuka. Mungu awatangulie tu, ila sitamshauri ndugu au jamaa yangu wakaribu ajenge mahusiano nao.
 
Vichomi hata hao ambao hawana watoto pia vichomi vilevile, sema tu huna bahati nao .
Kuna watu wengi wameoa single maza na wamedumu haswa
 
Moyo wangu unampenda ana mapenzi ya dhati

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mapenzi ya dhati hujawahi kuyaona wala kuyasoma, hivyo atakayekuponya ulipoumizwa na mpenzi wa kwanza utamuona ndio anakupenda kweli ila katimiza tu vya kawaida. Kinga ni bora kuliko tiba, nakuasa mwana achana na single mums utaumia sana kama sio leo basi kesho. Mungu akupe hekima ya kutambua hili.
 
Back
Top Bottom