Kufiwa na mme tuna jina lake "Mjane (Widow)" sio single mother. Huyu wa hivi risk namba 3 unaweza kuikwepa bora mjane kuliko single mother.
Kubakwa na kutelekezwa sawa huyu ni single mother.
Lakini ukweli kuna risk zinakuwepo kuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto japo hazina utafiti rasmi ila tunaziona kwenye jamii kwa ndugu, marafiki walioanza moja bila
1 Kwanza mtoto akijua wewe sie baba yake mzazi hata kama wewe majukumu ya baba yake mzazi ulibeba lazima utakutana na vitu kama "kwanza wewe sio baba yangu" (inauma sana hii kauli), ukimrekebisha kosa utaonekana humtaki.
2 Unakuta mwanamke ana watoto wawili baba tofauti (na wapo tunawaona wa hivi) lakini yuko single baba wote hawako nae lazima upige alama ya kuuliza kwenye hii aina ya mwanamke na wengi huwa wanakuwa na shida kutokutulia.
3 Pia kuna risk ya mwanamke kuendeleza mahusiano na baba mtoto.
4. Mapenzi na wewe huwa ni kwa ajili ya maslahi yake na mtoto.
NB: Sio wote wako hivi wapo wanao tulia
Sent from my M10_Max using
JamiiForums mobile app