Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Vichomi hata hao ambao hawana watoto pia vichomi vilevile, sema tu huna bahati nao .
Kuna watu wengi wameoa single maza na wamedumu haswa
Katika vitu vyote maishani, sitakubali ndoa iende kwa bahati. Nimepewa akili natumeagizwa tuishi nanyi kwa akili. Hivyo kama ni bahati kwa wengine basi kwangu its full based on principles and facts. Nakuhusu kuwajua ni wewe, ila kwa my inner circles of friends ambao ni wachache sina hata mmoja na nilijaribu kudeviate na walinionya sikusikia basi niishie kusema tu siamini kuhusu mwanaume aliyeoa single mum atafanikiwa. Sitaamini, siamini na siwezi amini kamwe. Asiyesikia basi atakavyoumizwa ni juu yake.
 
Sikiliza moyo wako, fanya mambo kwa nafasi yako punguza kuji-submit sana, heshimu sana mtoto wa kufikia pia tambua mawasiliano ya baba na mtoto yawepo via mama, jiandae kisaikolojia kwa sababu ulijua kila kitu
One man down
 
Katika vitu vyote maishani, sitakubali ndoa iende kwa bahati. Nimepewa akili natumeagizwa tuishi nanyi kwa akili. Hivyo kama ni bahati kwa wengine basi kwangu its full based on principles and facts. Nakuhusu kuwajua ni wewe, ila kwa my inner circles of friends ambao ni wachache sina hata mmoja na nilijaribu kudeviate na walinionya sikusikia basi niishie kusema tu siamini kuhusu mwanaume aliyeoa single mum atafanikiwa. Sitaamini, siamini na siwezi amini kamwe. Asiyesikia basi atakavyoumizwa ni juu yake.
Sawa kama huamini ni sawa.
 
Huwezi ona makucha yake kwa sasa, akitengamaa baada ya kumuoa atakuwa mbunifu atakuwa na hisia na baba wa mtoto wake atahalalisha ngono na baba mtoto wake bila kujali nini kiliwafalakanisha
 
Baada ya mda ataangalia akili yake inasemaje, Single Mama lazima:

1. Cheti cha kifo - Majina kama NIDA.
2. Picha ya kaburi - Majina kama NIDA.
3. Hakiki jina hospital aliyofia.
4. Hakiki picha linganisha na mtoto.
5. Hakiki kama hakuna shemeji nyemelezi.
"Shemeji nyemelezi"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau hope mko poa

Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.

Mambo yanabadilika niombeeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nakuita Mara tatu ndugu yangu ndugu yangu achana Na single mother usiingie katika mtego huo ni mgumu sana utaish kwa stress saana una kaa Na mkeo alafu unajua kabisa baharia anamendea kupiga.Na akishajua umeoa tu ndio figisu zinaanza simu nyingi kuhusu matunzo Na walivyo wanawake wanataka wapate huku Na huku
 
Unataka tukushauri nini na wewe umeshampenda...?
 
Oa tu,huo ni utumishi wa mungu kabisa!!

Ujiandae kutatua changamoto ya kisirani tu,single mothers wengi ni pro active ili wasionekane wameachwa wao Wana kuwahi !

Cha msingi mwambie nakupenda sana hata kama utajisikia kuniacha ntakupenda daima!!
 
Back
Top Bottom