Katika vitu vyote maishani, sitakubali ndoa iende kwa bahati. Nimepewa akili natumeagizwa tuishi nanyi kwa akili. Hivyo kama ni bahati kwa wengine basi kwangu its full based on principles and facts. Nakuhusu kuwajua ni wewe, ila kwa my inner circles of friends ambao ni wachache sina hata mmoja na nilijaribu kudeviate na walinionya sikusikia basi niishie kusema tu siamini kuhusu mwanaume aliyeoa single mum atafanikiwa. Sitaamini, siamini na siwezi amini kamwe. Asiyesikia basi atakavyoumizwa ni juu yake.