Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Harafu wewe ndie single mother mwenyewe sasa ambae unataka kuolewa, sisi tunakusiliba kwa mjuba [emoji23][emoji23] acha makasiliko dodogy wewe
Baba ako ndio alinifanya niwe single mother au?,mbwa Ni we unaye kurupuka kujibu comment isiyo kuhusu dogo kuwa mpole siyo kila mtu wa kutukanwa.
 
Baba ako ndio alinifanya niwe single mother au?,mbwa Ni we unaye kurupuka kujibu comment isiyo kuhusu dogo kuwa mpole siyo kila mtu wa kutukanwa.

Nani dogo, nakuuliza nani dogo..? Wewe mshamba si nakuuliza nani dogo, ngoja sasa
 
Nakuita Mara tatu ndugu yangu ndugu yangu achana Na single mother usiingie katika mtego huo ni mgumu sana utaish kwa stress saana una kaa Na mkeo alafu unajua kabisa baharia anamendea kupiga.Na akishajua umeoa tu ndio figisu zinaanza simu nyingi kuhusu matunzo Na walivyo wanawake wanataka wapate huku Na huku
Mleta uzi asome huu ushauri mara mbili mbili.
 
Shaloom,

Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa...
Gazeti reefu yote hiyo ni kujaribu kuaminisha watu kuwa bikra sio muhimu kwenye ndoa!

Kama story hiyo uliyosema ni ya ukweli basi huyo binti alijitahidi kwa kadri ya uwezo wake lakini miongozo ya kidini na kifamilia ndo ilikosekana kumsupport, ni kama alikuwa mwerevu pekee katika jamii ya wajinga na hilo lilimpelekea kufanya makosa akiwa ameamini amemaliza mbio zake.

Familia yenye dini haiwezi kumruhusu binti yao atoke na mchumba wake wakawe faragha (na haya ni mafundisho ya dini zote zinazopinga uzinifu kabla ya ndoa). Ila mwerevu yeyote katika jamii ya huyo mwanamke hawezi kumkosea heshima huyo binti kwa scenario hiyo. Kamwe huwezi kumfananisha huyo mwanamke na hawa singo maza tuonawaongelea.

Singo mazas wengi ni wale ukiwaangalia utakuta ni aina ya mabinti wanalala usiku wakiwa wametumika kwa namna ambayo hakuwa ameipangia alipoamka asubuhi (just kashikwa mkono, shughuli ikaanza na kuishia hapo). The best among them utakuta walifuniliwa in three to five days, lakini most cases unakuta binti kajikabidhi kama mke within a week. Hawa ndo majority ya masingo mazas na ndo hawa tunaowakemea.
 
Penzi ni kama mbegu inaweza kuchepua sehemu yeyote kwahiyo bila kupenda unaweza ukajikuta unaangukia kwa single mother bila kutegemea.

Sasa kumekuwa na ushuhuda ambao sio mzuri sana kuhusu wanaume walibahatika kuingia kwenye mahusiano ya kudumu na single mother na wengine kuoa kabisa!

Kwahiyo hapa nahitaji wale wanaume wenzangu walipata bahati ya kuoa na kuishi na single mother bila changamoto za misukosuko na hofu ya usaliti kwa wazazi wenzio, nadhani itawatia moyo wengine ambao wanatishwa sana na watu wengine walioumizwa na single mother, karibu kwa ushuhuda
 
Penzi ni kama mbegu inaweza kuchepua sehemu yeyote kwahiyo bila kupenda unaweza ukajikuta unaangukia kwa single mother bila kutegemea...
Bora ututee maana sio kwa vichambo hivi kwa single maza [emoji2]..
 
Mwanaume Kuoa single mother na kuacha wanawake ambao hawajazaa nikukosa akili kabisa . Mara mia uuawe au ukatwe uume tuu maana hakuna njia nyingine ya kukusaidia.
 
Mwanaume Kuoa single mother na kuacha wanawake ambao hawajazaa nikukosa akili kabisa . Mara mia uuawe au ukatwe uume tuu maana hakuna njia nyingine ya kukusaidia.

[emoji28][emoji28]hasira zote za nini mkuu?
 
Shaloom,

Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa...
Ni sawa sawa na kunununu kiwanja chenye migogoro....

Tutaoa single mother only ikiwa tu mpenzi au mumewe ni deceased one
 
Ukwel ni kwamba single mothers ndo watu wa kwanza kuchochea kuwepo na watoto wa mtaani kwa wingi, sababu ni kwamba wanakuwa na wanaume tofatitofauti kwa maana ya kupata kipato kupitia watot hao
 
Kuiga hakufai, akili za kuambiwa mix na zako, sio kila single mother ni nuksi, msikilize elewa shida yake, tafuta ukweli, ukiridhika mchukue, au msaidie utaona matokeo yake, na ukimchukua usibweteke endelea kuomba Mungu akupe maono ya rohoni, punde Mungu humlipa mja wake.

Usifuate mkumbo sema na Mungu wako.

Wadiz
 
Back
Top Bottom