Hakika, dini imegeuzwa biashara kubwa sanaDini imeshakua Biashara halali ukitaka kupiga Pesa za wajinga vichaa wapungufu wa akili jiite prophet au jiite nabii au jiite kuhani baada ya hapo fungua kanisa lako hawatojari una elimu gani wewe tema neno ukimaliza wakamue sadaka tena kaba hadi kwenye mitandao ya simu yote weka namba wajinga watachangia, miezi miwili mingi una kiwanja kigambo huku unapush harrier matako ya nyani new model
Tulete record maatheist wamebaka wangapi mbona unawafuata.Kwa macho na masikio yangu naona na kusikia mchungaji maarufu katika eneo lake la kichungaji kafumaniwawa na kurekodiwa sehemu na mwanafunzi wa shule fulani ili jambo libaki sirini, kakubali kulipa fine Tsh 4,000,000/= katoa mil.2.5 nyingine kasema wamsubiri hadi jumapili akimaliza ibada atatoa iliyo baki. Nikasema kanisani siendi tenaaaa
Hakika kabisa, hivyo ndivyo ilivyo ukiona life limekugonga jiite prophet haraka sana unauaga umasikiniHakika, dini imegeuzwa biashara kubwa sana
Mbona ngono kuna watu wanafanya kama biashara na ndo wengi zaidi kwanini watu bado wanaipenda tena sana?Hakika, dini imegeuzwa biashara kubwa sana
Bahati mbaya sana mtu akishajiita atheist anajiweka kwenye kundi la bright, free na kwenda na beat la Darwin Evolution muulze amesoma kitabu cha Darwin orgin of species kitabu pekee cha evolution toka kwa Darwin, muulze anawajua kina Dr. Dawkins.Kabisa aisee yani wao ni waabudu watu ila utasikia hakuna Mungu. Utasikia technology mpaka stick za kuchokonolea meno wanaletewa ila utasikia sisi tuko na technology hatufuati dini.
na watoto kuwalea?? huoni kuna ugumu....Ndoa za serikali hazipo?[emoji3][emoji3]kwani ndoa ni nini?
🤣🤣aisee hawa watu pasua kichwa. Halafu sasa wao ndo wanakuja kuleta umasikini kwenye jamii maan wengi wanashinda vijiwe vya bangi uzinzi na ulevi wa kupindukia. Huwa wanakuwaga na mageto yao ya kuvutia bangi unakuta wamejaza vitabu havieleweki eleweki wanabugia nusu nusu tu. Wengine utasikia maisha ni karata sijui zimefanyaje.Bahati mbaya sana mtu akishajiita atheist anajiweka kwenye kundi la bright, free na kwenda na beat la Darwin Evolution muulze amesoma kitabu cha Darwin orgin of species kitabu pekee cha evolution toka kwa Darwin, muulze anawajua kina Dr. Dawkins.
Ataishia tu kukuuliza Mungu ameumbwa na nani
Swali.. Unamuongelea Mungu yupiKasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Tuanzie hapa, nani aliyeandika maandishi haya???
Mungu Mwenyezi.Swali.. Unamuongelea Mungu yupi
Contradiction.Kwani haiwezekani umpende MTU na wakati huo huo usimchukie?
Ndio yupiMungu Mwenyezi.
Wewe una viwanja vingapi na harrier ngapi?Dini imeshakua Biashara halali ukitaka kupiga Pesa za wajinga vichaa wapungufu wa akili jiite prophet au jiite nabii au jiite kuhani baada ya hapo fungua kanisa lako hawatojari una elimu gani wewe tema neno ukimaliza wakamue sadaka tena kaba hadi kwenye mitandao ya simu yote weka namba wajinga watachangia, miezi miwili mingi una kiwanja kigambo huku unapush harrier matako ya nyani new model
Wale wa kariakoo wasio malazi na maisha yanaenda unawaelezeaje?Sasa ukikosa malazi kwanini usife hujui kuna magonjwa hali ya hewa na wanyama wakali vibaka. Lakini ukikosa sex kifo kinatokeaje?
Kiuhalisia wengi sana wamepatwa na majanga mbali mbali ikiwemo kifo. Mfano mmoja alisimulia alipelekwa monchwari akiwa mzima nusu azikwe. Lakini pia katika mazingira yale huwezi kudumu maan utashambuliwa na wadudu tu mwisho wa siku utapata magonjwa ya ajabu. Lakini pia effect kubwa ya kukosa makazi na malazi ni humiliation kubwa sana kwa kila anaekuona njian well umetaja kariakoo mji unaotembelewa na umati wa watu je ni aibu kiasi gani. Ila ngono hufanywa sirini hakuna aibu na pia hakuna maradhi ya kusema utapata kisa hujafanya ngono na wanawake wengi zaidi zaidi wanaofanya na watu wengi ndo wako hatarini. Swali kwko je usipofanya ngono utakufa?Wale wa kariakoo wasio malazi na maisha yanaenda unawaelezeaje?
Halafu pia basic needs lazima watoto ndo wawe wahanga wakubwa kama ikikosekana mfano chakula mtoto hatakiwi kukosa mavazi na malazi vile vile enhee wewe ndugu yetu mtoto akikosa sex vipi kinatokea nn🤣🤣Wale wa kariakoo wasio malazi na maisha yanaenda unawaelezeaje?
teknolojia ambayo ni mpango wa shetani ndo imetufikisha hapa!!Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.