Kipi asichoweza control kwa mfanoNi kila baada ya muda gani?? Kwanini Mungu mkamilifu anatengeneza vitu asivyoweza kuvi control/visivyovikamilifu? Anatengeneza viumbe na kuvipa uwezo wa kukosea alafu vikikosea ana viadhibu?? Kama kazi ya mungu ni kutengeneza kizazi then kikikosea anafuta analeta kingine inamaanisha bado yupo kwenye majaribio ya kuleta kizazi kikamilifu??
unataka tuwe ma robot, na Mungu ashike remote control ili kutuendeshaNi kila baada ya muda gani?? Kwanini Mungu mkamilifu anatengeneza vitu asivyoweza kuvi control/visivyovikamilifu? Anatengeneza viumbe na kuvipa uwezo wa kukosea alafu vikikosea ana viadhibu?? Kama kazi ya mungu ni kutengeneza kizazi then kikikosea anafuta analeta kingine inamaanisha bado yupo kwenye majaribio ya kuleta kizazi kikamilifu??
Yani huyu Mungu haeleweki nyuma wala mbele... Yupo yupo tu kama sigara nyotaMungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Wewe unazunguka nimekuuliza swali dogo Ila unazunguka mno, jibu moja ndio au hapana, maana Kiranga alisema ndio anasupport maana haoni uwepo wa Mungu wewe vipi huoni uwepo wa Mungu una-support ushoga na usagaji ?
Naona unatafuta watu uwafungishe bila kula hadi wafe 😊Suala la Mungu ni eneo Pana sana hapa
Kwa hiyo yeye huyo mungu anaruhusiwa kutenda dhambi?Unajilinganisha na Mungu mkuu
Hayo aliyasema for us sio kwa ajili yake.
Dhambi katika frem ipiKwa hiyo yeye huyo mungu anaruhusiwa kutenda dhambi?
Huyo mungu muuaji. Ila anakukataza wewe kuuaDhambi katika frem ipi
Wewe ni dhambi kumchinja ng'ombe wakoHuyo mungu muuaji. Ila anakukataza wewe kuua
Tatizo hata mki elezwa mambo haya kisayansi badi tu mtalazimisha kwamba si yenyewe bali ni Mungu.Lete hoja kuhusu
. Chanzo cha uhai,
.Kwann viumbe vinazeekaa na kufa
.Kwann ukikiuka kanuni za asili ni lazima zikurudi
.Kwann ukikosa oxygen lazima ufe
.
Unatetea ukristo na Biblia kwa vile ndio imani yako vilevile hata muislamu na Quran atasema hivyo hivyo kama ulivyosema kutetea dini yake.Dini kupitia vitabu,hasa ukristo kwenye biblia inatoa majibu ambayo hayapatikani popote.
inatuambia kuhusu chanzo cha uhai, na kifo na pia jinsi ya itakavyokuwa baada ya kifo
biblia iliandika vitu vikatokea na vipo vinaendelea kutokea
Hawezi kukuzuia kufanya kinyume na maamuzi yakeKipi asichoweza control kwa mfano
Anasema ukichagua vile asivyovipenda yeye kama kusema uongo siku ya mwisho atakuchoma motounataka tuwe ma robot, na Mungu ashike remote control ili kutuendesha
kinyume chake tunapaswa kuchagua tunataka nini, na anaheshimu uchaguzi wako
Matapeli wapo kila Kona ila haimaanishi kuwa kitu real hakipo tuzidi kuyatafuta maarifa tu kwanza badala ya kurukia hitimishoTatizo nyie wachungaji mmemgeuza Mungu kuwa mtaji kwamba hawezi kutubariki mpak tuwape sadaka .... Mnamuwakilisha isivyo Kwa kweli, inafikia hatua watu wanamuona Mungu miyeyusho
Kwani wewe umemkataza ng’ombe wako kumchinja mwenzake? Mbona mfano wako ni irrelevant?Wewe ni dhambi kumchinja ng'ombe wako
Tatizo mnaanzisha mada zinazo wazidi akili.
Kwa hio wewe unaabudu mizimu ya kwenu ?Jibu ni Mimi sio kiranga
Ikija topic ya ushoga ni tag huko upate maoni yangu husika
Kwa sasa naungana na kiranga kuhusu kutokuwepo wa huyo Mungu alieundwa na binadamu
Haya mambo yamekuzidi akili KijanaKwani wewe umemkataza ng’ombe wako kumchinja mwenzake? Mbona mfano wako ni irrelevant?