Kipi asichoweza control kwa mfanoNi kila baada ya muda gani?? Kwanini Mungu mkamilifu anatengeneza vitu asivyoweza kuvi control/visivyovikamilifu? Anatengeneza viumbe na kuvipa uwezo wa kukosea alafu vikikosea ana viadhibu?? Kama kazi ya mungu ni kutengeneza kizazi then kikikosea anafuta analeta kingine inamaanisha bado yupo kwenye majaribio ya kuleta kizazi kikamilifu??