bianca2023
Member
- Apr 6, 2023
- 98
- 222
sasa kuna vitu vidogovidogo kama kwenda kanisani, sipendi kabisa...
haya bado ukifikiria mambo ya kuoa.... hii nchi haifai kwa atheistsNa hata ukienda kama huna imani hakuna kinacho tokea
Kiufupi mazingira yako nayaelewa ikikulazimu kwenda kanisani ili kuwafurahisha wazee wasindikize lakini imani yako unaielewa wewe mwenyewe
Chukua muda wako imani ni kama misuli
Inaonekana huyo mungu wenu hajui hata Binadamu aliyemuumba anafanyaje kazi,Yaani maoni yako ya kutokuwepo kwa Mungu hayaondoi uwepo wake. Yeye yupo
Zaburi 14:1 “Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema”.
AahahaaaUkijua tu namna ya kufanya biashara na Mungu wewe umetoka.
Who cares hence everyone fights himself/herself for the life success without depending on someone else?Yaani mimi kiranga ninachomkubali akisema kamuweka mtu ignore list hutoona anajibu tena huyu jamaa ana misimamo yake mikali sana[emoji23][emoji23]kuna mtu aliambiwa nakuweka ignore list na naliona hapa
Tatizo mtu unatumia energy na muda mwingi kuabudu, kusali na kuomba afu unachokitaka hukipati, mafanikio zero.Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Niwekee KWA kiswahili hata sijaelewaWho cares hence everyone fights himself/herself for the life success without depending on someone else?
😂😂😂Tumegundua Mungu mwenyewe ni wa mchongo... Yani anamkimbia shetani alafu anatutaka sisi tupambane nae wakati yeye kala kona.
si bora tumfanye shetani awe rafiki tu amani iwepo.
watu humu jf wanaona wakiandika kingereza wanaonekana wasomi...Niwekee KWA kiswahili hata sijaelewa
Kwanini kakupa uwezo wa kuchagua asichotaka?, asichokitaka kwanini kisiwepo?? Au yupo kwenye majaribio??chagua sasa mwenyewe . ni vizuri kama unajua anachotaka
Hasara anayo maana nisipofuata amri zake atanichoma moto, so energy aliyotumia kuniumba inakua wastedAmri kumi zimewekwa ni muongozo Ili wanadamu waishi vyema KWA amani na utulivu. Mungu hana hasara nawe kuzifuata au kutozifuata hata sheria za nchi na sheria za Jamii zimekopi toka sheria za MUNGU.
Huenda kwake ikawa hivyo au anapenda tu, sema wengi ni ile kama kuonyesha ni wasomi, uhalisia watanzania wengi ni wazuri kwenye kutype kwenye keyboard kingereza mpe dakika30 za kuongea mbele ya watu watano hakuna kitu, tunaishi nao tuwatu humu jf wanaona wakiandika kingereza wanaonekana wasomi...
Freewill?? Ukichagua asiyoyapenda anakurusha motoni. Hivi kwa nini nguvu anayotumia mungu kuandaa moto wa milele kwa wale tusiomuelewa/amini asingeitumia kumalizana na shetani once & for all?? Au kwa nini asiitumie nguvu hiyo kulinda amani ya dunia dhidi ya watu wanompigania katika ulimwengu huu??Sababu Mungu sio dikteta thus kampa mwanadamu freewill achague kutenda mema au maovu kwa faida na hasara yake mwenyewe.
Hasara ipi sasa hali yeye utamka tu na huwaHasara anayo maana nisipofuata amri zake atanichoma moto, so energy aliyotumia kuniumba inakua wasted
Anatamka tu bila kufikiri?Hasara ipi sasa hali yeye utamka tu na huwa
Mungu haihitaji msaada wa Mwanadamu kumpigani hao wanaopigana KWA ajili ya Mungu Wana shida ya akili.Freewill?? Ukichagua asiyoyapenda anakurusha motoni. Hivi kwa nini nguvu anayotumia mungu kuandaa moto wa milele kwa wale tusiomuelewa/amini asingeitumia kumalizana na shetani once & for all?? Au kwa nini asiitumie nguvu hiyo kulinda amani ya dunia dhidi ya watu wanompigania katika ulimwengu huu??
Eti unatumia energy na muda mwingi kusali. hebu fafanua hayo matumizi ya energy na muda kwenye kuabuduTatizo mtu unatumia energy na muda mwingi kuabudu, kusali na kuomba afu unachokitaka hukipati, mafanikio zero.
Hapo hapo unakuta Kuna mtu hata hajui kama Kuna Mungu lakini anatoboa kirahisi sana. Kwa mtindo huu unaanzaje kumuamini Mungu?
Uliona kura zimeibwa? Au viongozi wa dini waliona kura zikiwa zinaibwa? Shida yetu vijana tunaishi kwa kuamini tunachokiona mitandaoni wakati hamjui behind the scene kuna kipi kimepikwa!!Sababu kubwa mbili
Ya kwanza mungu hana faida duniani maana maovu yapo pale pale watu wanaiba watu wanaua watu wana dhulumiwa mfano hapa nchini kwetu tuliona wazi uchaguzi wa 2020 viongozi wengi waliingia madarakani kwa wizi wa kura na hakuna hata kiongozi hata mmoja wa dini aliekemea ule wizi wa kura je mungu anaruhusu kuiba sana sana tuliona masheikh na mapadri na wachungaji waliuenda kumpongeza raiasi aliyeiba kura kukaa madarakani maana yake dini zinabariki wizi
Jambo la pili elimu vijana wengi wana elimu kushinda wazazi wao hivyo wanakuwa wameelimika na kujua dini ni mpango maalumu wa kumtawala mtu kifikra na kimawazo wala hakuna jipya