Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?



Kwani mzanzibari sio mtanzania?

Hebu tuache haya mambo ya ubaguzi usio na maana

Na bandari haijauzwa, na haiwez kuuzwa,

So punguza presha ya na taharuki
 


Why unahisi bandari imeuzwa? Kwa fact gani?
 
Hii Kuna mtu Ni cashier so anawaambia ndugu zake waje kununua baadaye kupiga hesabu,vitu vingine ana skip anamuwekea bure.

Yaani mbongo sijui mwafrika anawaza kufanikiwa kwa wizi tu
Kuna wizi mkubwa sana sehemu za serikali hasahasa Bandarini wale jamaa wa TRA wana kuuliza unataka kulipa kodi au tupe chetu upitishe mali yako.
 
Nyamaza kimya ewe mpotoshaji. Mkataba hauna tatizo!
 
Kama ni hivyo kwa nini asingewakodisha waendeshe bandari kwa muda maalum wakati huo huo tunapata mapato badala ya kuwapa yote yote na ziada ya ardhi kwa muda usiojulikana?
Inategemea na mkataba atakao muekezaji na mwenye mali, nakupa mifano ya mikataba ya nyumba za Kariakoo.

1) Mikataba ya nyumba za Kariakoo huja tajiri hujenga nyumba na huchukuwa maduka na flati kadhaa nawe hukupa flati 1 na maduka 3 au 5.

2) Mkataba wa nusu umiliki huu huja tajiri hujenga nyumba na mmiliki hupewa nusu na tajiri huchukuwa nusu.

Narudi kwenye bandari wawekezaji hutumia hela yao kwanza kuweka miundombinu ya kisasa. Wanaleta wafanyakazi wao na usimamizi wao hapo hela yao inakwenda tu. Sasa wakishafungua wanaweka insurance ya bandari(tatizo likitokea wawekezaji ndio hu fix tatizo) kuna mengi tu kwenye mkataba
 
Kwani mzanzibari sio mtanzania?

Hebu tuache haya mambo ya ubaguzi usio na maana

Na bandari haijauzwa, na haiwez kuuzwa,

So punguza presha ya na taharuki
Kuna mtanganyika na Mzanzibari, huu ndio uhalisia. Huo utanzania upo kiccm zaidi. Kama huamini nenda Zanzibar ukiwa mtanganyika kama utaruhusiwa kugombea uongozi wowote, au kumiliki ardhi.
 
Huyo ana damu ya waarabu kwa hiyo lazima aturejeshe utumwani
 
Kwa hiyo katika uwekezaji unatoa na ardhi kwa muda usiojulikana?
 
 
Why unahisi bandari imeuzwa? Kwa fact gani?
Huu utetezi wako naufananisha na ule utetezi wa wakati wa gas ya Mtwara. Porojo zilikuwa nyingi na utetezi kama huu huu wa sasa. Baadaye Magufuli akawa anaongea kinyonge kuwa gas sio yetu bali imeuzwa na wajanja! Akaamua kuachana na umeme wa gas akawekeza kwenye umeme wa maji. Ni vyema ukakaa kimya boss, maana tuna uzoefu na hii mikataba ya siri ambayo mingi ni kichaka cha wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…