Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Mnataka kuharibu Muungano. Rais Samia anafanya vitu kwa ajili ya watanganyika then ninyi mnaanza kuleta ubaguzi. Mbona mpo hivyo???
Hakuna anayetaka hisani ya Mzanzibari, muungano upo kwa shuruti zaidi kuliko matakwa ya wananchi wa hizi pande mbili. Muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki huo sio muungano bali uhuni. Muungano ambao miaka yote kero haziishii huo sio muungano.
 
Kuna wizi mkubwa sana sehemu za serikali hasahasa Bandarini wale jamaa wa TRA wana kuuliza unataka kulipa kodi au tupe chetu upitishe mali yako.
Mkuu hata kwenye chaguzi zetu kuna wizi mkubwa sana wa kura, je tubinafshe tume ya uchaguzi? Na kwenye mahakama zetu tatizo ni hilo hilo la rushwa. Je mahakama zetu tunabinafsisha lini na kwa mwarabu wa wapi ili kupata ufanisi?
 
kwa iyo mhehe Mbosa mkurugenzi wa Bandari saivi kawa Mzanzibari? kweli afya ya akili ni tatizo Tanzania
 
Ni imani yangu Samia ataukwepa mtego huu kama nafasi ya kufanya hivyo ipo hata kama bunge limefanya hayo. Ktk mambo ya kumharibia Samia hili ndilo kubwa zaidi.
 
Majibu ya waziri juu ya muda wa mkataba ni ya kujikanyaga tu!

 
Hio ilikua kwa makada wa kale enzi za Nyerere ya sasa m/kiti mungu anastahili sifa tuu
Wabunge wanawaza uwaziri tu na future ya familia zao.

Hakuna anayekumbuka wasiokua nacho.

Hili jambo halina manufaa yeyote kwa mwanchi wa kawaida isipokuwa tu kuongezeka kwa umaskini na kugeuzwa watumwa kwenye nchi yao.
 
Lile suala la Raisi kutoshitakiwa mahakamani akistaafu ndio linasababisha mtu kufanya chochote akijua mbele ya Safari hatashitakiwa hata akiliingiza taifa kwenye hasara. Huko mbeleni hasara zikitokea mawaziri ndio wanabebeshwa makesi ila wao hawaguswi...
 
Hakuna anayetaka hisani ya Mzanzibari, muungano upo kwa shuruti zaidi kuliko matakwa ya wananchi wa hizi pande mbili. Muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki huo sio muungano bali uhuni. Muungano ambao miaka yote kero haziishii huo sio muungano.
Nyamaza kimya hujui kitu. Tutaanza kuwashughulikia mnaleta kiherehere maana tumewachoka, kila kukicha uzanzibari etc. Sisi Chawa tunasema muacheni mama atakelezw ilani ya CCM, awatumikie watanzania. It is better to do something rather than nothing. Tutamshukuru miaka inayokuja kwa saaa nyie vipofu hamuwezi ona.
 
Wabunge wanawaza uwaziri tu na future ya familia zao.

Hakuna anayekumbuka wasiokua nacho.

Hili jambo halina manufaa yeyote kwa mwanchi wa kawaida isipokuwa tu kuongezeka kwa umaskini na kugeuzwa watumwa kwenye nchi yao.
Sasa ni muhimu wanachama kuwawajibisha wabunge na mawaziri wenu kwenye kamati zenu za maendeleo na si kuwapa backup kwenye maeneo wanaonesha kutokua na uzalendo.
Na ikiwexekana mNawakosoa hadharani na si chumbani maana huu itaratibu wa kukosoana chumbani ndo unaleta uchawa
 
Ni hivi, hakuna muungano hapo bali hilo ni changa la macho Nyerere alimpiga Karume. Kama huamini nenda Zanzibar ukagombee uongozi kisha useme ww ni mtanzania. Ukikubaliwa uje unishughulikie vizuri niko hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…