Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Mnapokosa hoja mnakuja na chuki za kipuuzi kama huu uzi. Mnachosahau ni ukweli kwamba hayati JPM ndiye aliyekarabati bandari zote.

Kwa akili ya kawaida huwezi kujenga SGR ikawa na uwezo wa kuchukua mzigo wa DRC, Rwanda, Burundi na Tanzania yenyewe halafu usijiongeze katika suala zima la usafirishaji wa mzigo kwa maana ya kuupandisha melini na kuushusha.

Yupo mpuuzi wa kwanza kabisa aliyeanzisha maneno ya kibaguzi na chuki dhidi ya Rais SSH, huyu hakika adhabu yake inamsubiri na itamuumiza yeye na kizazi chake chote.
 
Brother kama umeliona linawexa kutusaidia ni mwanzo mzuri ... hakua na mtazamo huu hapo awali ivyo ni hatua nzuri
Nimekuwa nikisema hili muda mrefu sana .

Watanzania bado hawako tayari kuwa na katiba mpya.

Muda ukifika itakuja tu yenyewe.

Sasa mkuu kwa hali hii ukisema ije mpya si itakuwa balaa.

Kama watu wamekaa kimya na kuridhia vifungu vya aibu kabisa hiyo katiba si itakua zaidi??

Bora tuendelee na hii hii mpaka hapo raia watakapokua na uwezo wa kufikiri sawa ili tuandike katiba nzuri na inayotekelezeka.
 
Inasikitisha hii kitu imetokea hivi. What else can we say or do?
Tunaomba Huruma ya Mwenyezi Mungu kwa watu wake
 
Wasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weather
 
Kwa kifupi watanganyika amesha chafukwa akifanya hivyo polisi hawatatosha.
Vyombo vya dola vya nchi hii ni sehemu ya wizi wa kura unaoendelea kwenye chaguzi zetu. Na wananchi ni waoga kulinda haki yao hasa silaha za moto zinapotumika dhidi yao.
 
Wasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weather
Tanza
Wasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weather
Tanzania tuna historia ya kufanya mambo yetu kwa amani kabisa.

Ila kama watawala Wataendelea kushupaza shingo kwa muda mrefu

Ugumu lazima utakuwepo.

Na hii itasababishwa na gepu kubwa baina ya walio nacho na wasiokua nacho.

Ugumu wa maisha utaondoa uvumilivu.
 
usimamizi mbovu kuchekeana na kujuana kazini ndo matatizo yote watu kama kina JPM wanaitwa madikteta.
 
Kuna chawa wanasema DP world wamenunua pia canada, USA, Germany sijui na wapi, kwa hiyo sisi siyo wa kwanza kuingia mkenge.
kwaio ao DP wamechukua bandari zote za US au Uingereza.?
 
Ila tusisubiri yaharibike zaidi mkada amkeni huko
 
Sawa chawa
 
Yan huyu mama yeye na wabunge wake na kale kadada kalikokauka na walaaniwe na uzao wao wotee kwa Jina la Yesu
 
CCM ni tatizo lakini Samia ni tatizo zaidi. Yeye kuwa na wajomba zake wa kiarabu kunawafanya waarabu kumuingia kwa urahisi na kuanza kujadiliana namna rahisi ya kukwapua rasilimali za Tanganyika.
Ndio, Samia tatizo, CCM tatizo, lakini sisi raia pia tatizo kubwa zaidi.

Tunakubali mfumo wa kutegemea roho nzuri ya Rais. Tukipata Rais mwenye dhamira mbaya, matendo maovu, kinyonga, nyoka, basi tumekwisha.

Tukimpa mtu madaraka tunampa madaraka kama yote, ya kufanya lolote!

Eti mpaka ardhi ya nchi katiba inamwambia ana mamlaka nayo, kuigawa vyovyote, kuifanya lolote. Why on earth ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…