Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Sasa kama mtu anaendesha kwa miaka 99 kuna tofauti gani na kuuza?
Huyo ni muendeshaji sio mkusanya Kodi, Tra wako pale pale kukusanya kodi, kazi ya hao jamaa

1. Kuongeza miundombinu ya Bandari iwe ya kisasa
2. Kuhakikisha Kontena zinapakuliwa kwa haraka zaidi (sehemu nyingi ni chini ya masaa 48) kwetu meli zinakaa zaidi ya wiki.
3. Kontena zinapakiwa kwa haraka zaidi
4. Uendeshaji mwengine kama mpangilio wa Ma container, usafirishaji kwenda kwa wahusika etc.
 
Tatizo ni sisi wabara kuruhusu kutawaliwa na watu wa nchi nyingine, tukatae huu upuuzi mali zetu zinaisha
 
Kuna haja ya kuweka mipaka ya madaraka kwa Raisi.

Naunga mkono zoezi la katiba mpya.
 
Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri Mnyaa Mbarawa Makame
Katibu Mkuu Balozi Aisha Amour
Wote waZanzibar
Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?, umesahau miaka ile ya JPM halmashauri zote zilijaa wasukuma, nani alilalamika kama unavyolalamika bila hata ya kuona aibu?.
 
ni rahisi sana kuuza mali ambayo si yako kuliko kuuza mali ya kwako, wanakuwa wepesi kufanya hivyo wakidhani wao hawaathiriki na chochote...hata wakiuza tanganyika yote wao wanayo sehemu ya kwenda...
 
Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
unajua maana ya kubinafsisha ? kama issue ni uendeshaji tu kwanini tusi outsource Management pekee kama ilivyofanyika miaka ya mwanzo ya 2000 kwa Net group kwny uendeshaji wa Tanesco?
 
NDUGAI: Kuna siku nchi itapigwa mnada....haya Sasa yameanza.
 
Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Hujui unachoongea maana kichwa chako hakijui na hakiwezi kuelewa yaliyoandikwa kwennye mkataba
 
Kwamba TPA wameshindwa kazi? Kwanini wasijiuzulu? Wao wanaweza nini halafu TPA kinawashinda nini?
 
Kwamba TPA wameshindwa kazi? Kwanini wasijiuzulu? Wao wanaweza nini halafu TPA kinawashinda nini?
Kwani Hilo Eneo ni Tpa alikuepo si Toka mwaka 2000 yupo Ticts? Na mkataba ume Expire karibuni? Tatizo la wabongo Hamna mnazijua ila kubwabwaja ujinga ni Jadi yetu.

Watu hawataki kujadili Cost/benefit ila ni ubaguzi, matusi na vitu ambavyo hawajui A wala Z
 
Kwa miaka 100 au sio? Au milele si ndio?
 
Mzee mzima unatupotosha...Tanganyika haipo....ilishakufa na kuzikwa na baba wa taifa....kuna Tanzania bara tu....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hawa Wazanzibari hatukutakiwa kabisa kuungana nao. Maana ni useless people in the useless country.
Mzanzibari ni nani ?!!!

Mzanzibari ni MHADIMU Kutoka makabila ya nyika na pwani ya iliyokuwa Tanganyika....


Kiasili visiwa ni vya wahamiaji....Muungano wetu ni wa kipekee kabisa.....mgosi kinyume na kuungana na wazanzibari ulitaka tuungane na Shelisheli ama Madagascar?!!?[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakikujibu nitag [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…