Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Ukihama dhehebu huwezi kudai majengo.Hizo zama hadi majeshi yalikuwa na idara ya CCM.
 
hivyo viwanja ni vya serikali wala si vya ccm maana ujenzi wake ulihusisha wananchi wote wenye walio kuwa wana ccm na wasio.wana ccm maana hakukuwa na mbadala na.vitarudi vyote kwa wananchi
Ukihama dhehebu hudai jengo ndio maana ukijitoa ukatoliki huwezi kudai fito
 
Mkuu,zama hizo hadi majeshi yalikuwa na makada.Siku Martin Luther alipojitenga na ukatoliki hakudai pensheni bali alianza upya.
naona ww ni kijana wakati wa ujenzi wa viwanja hivi serikali ndiyo iliyokuwa inasimamia ujenzi nakukusanya michango ingawa ni ngumu kutenganisha serikali na chama wakati huo kwani mkuu wa mkoa ndiye katibu wa chama mkoani.
 
Umekosea,RC ni mwenyekiti wa kamati ya siasa.inaonekana kabisa ulikuwa kichanga au ulikimbia umande hivyo ukaanza ajira utotoni.
 
Ukihama dhehebu huwezi kudai majengo.Hizo zama hadi majeshi yalikuwa na idara ya CCM.
Base line ni kwamba hiyo ilikuwa mali ya serikali, baada ya 1992/3 CCM ilitakiwa kujitenga na serikali na siyo kubeba mali za serikali. Anyway, majizi haya integrity hiyo.
 
Umekosea,RC ni mwenyekiti wa kamati ya siasa.inaonekana kabisa ulikuwa kichanga au ulikimbia umande hivyo ukaanza ajira utotoni.
sijakosea mkuu wa mkoa ndiye aliyekuwa katibu wa chama mkoani na mkuu wa wilaya naye alikuwa katibu wa chama wilayani tafuta taarifa za kweli uache ushabiki wa kitoto.
 
Ulikua mkali wa wosso inaelekea...
 
Mkuu,zama hizo hadi majeshi yalikuwa na makada.Siku Martin Luther alipojitenga na ukatoliki hakudai pensheni bali alianza upya.
sawa majeshi yalikuwa na makada lkn yameachwa kujisimamia ingawa kijujuu tu hata magereza yalikuwa hivyohivyo mbona ccm hawadai kumiliki magereza? wameng'ang'ania viwanja kuna ulaji huko na hili genge ccm liko pamoja kwa sababu ya ulaji tu siku Mungu akinyoosha mkono litabaki historia kama kanu.
 
Jpili ilianza vizuli lakini kitoto cha shetani ulivyo amka Na mada yako ya kipumbavu umealibu kila kitu anyway huna nafasi na thread yako ya kijinga.

Tujenge wote kipindi cha ujamaa kisha Leo useme ni Mali yenu.
 
Ukiondoka roma unaacha yote
 
Kijana wangu CCM ndio chama kongwe kama ilivyo Katoliki kwa wakristo
 
Kama ilivyorudishwa Chimwaga now Udom ndivyo viwanja navyo vinatakiwa kurudi maana ni vya taifa si chama
 
Mimi sijawai kusikia po pote Duniani chama cha siasa kikamiliki viwanja vya michezo au kuwa na timu za michezo.FIFA na siasa ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…