Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni
sure,
otherwise baada ya uchaguzi wa serikali za mtaa itakua dhaifu mno 🐒
Nadhani TL Awe mwenyekiti moja kwa moja bila ya kusubiri uchaguzi ili kuinusuru chadema, just mbowe apishe tu, kwa sababu ndiye CHAGUO la wanachama wote, "" no time to waste--, kibao hiyo cha muziki hata my friend Freeman mbowe alikicheza sana na akina Abdul msomali.
 
kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...

badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...

kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....

Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,

kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,

sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mbowe kamatia hapohapo tunajua wanachokiogopa vizuri.
 
Yaan yanga anawezaje kumchagulia simba wachezajo wa kusajili?? Umeshaelewa
 
Na huko CCM hakuna ombwe? Kuna nlni mkuu?
 
Tundu hawezi kuiongoza CHADEMA hata kwa wiki moja tu kabla hajaisambaratisha na kuipasua vipande vipande.lissu hana hekima za kiuongozi wala busara wala kuweza kuiunganisha CHADEMA.lissu ana dharau,kiburi na ujuaji mwingi.lissi anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza .Lisu anapaswa kuwa na mtu juu yake wa kumuongoza na siyo kuwa yeye ndio mtu wa Mwisho.

Mwenye uwezo wa kuiongoza CHADEMA kwa sasa ni Mheshimiwa Halima James Mdee.
 
Kijana Unahangaika sana kama mtetea anayetaka kutaga.
 
kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...

badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...

kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....

Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,

kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,

sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

CCM anapofanya hot preemption.

Kwa hiyo mmegundua namna ya kupata mnayotaka?

Ya kwamba mmetega kunguru sasa kwa maharage makavu?

Ila msikonde tunajua bila Masai style hakuna uchunguzi huru, katiba mpya wala kupatikana waliotekwa!

Hadi hapo unasema je ndugu?
 
kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...

badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...

kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....

Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,

kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,

sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo Leo mpaka tarehe 23 tupate mwenyekiti wa mpito

Mbowe akae pembeni huu mziki hatauweza
 
Lakini tundu ni jasori lazima atawapeleka watu barabarani

Hakuna afadhali dogo
Ni sawa na kusema ukitemamoto ukimeza moto pia

Nadhani ccm mkubali tu kunyooka
Uchaguzi uwe fair mpoteze viti vingi
Na mkubali kumtanga raisi kutoka upinzani

Komesha mauaji na utekaji wananchi wanaenda kuwafurusha madarakani

Mwisho salama yenu ni kukubali katiba mpya mapema kabla Hali haijawa tete
 
Kwa hiyo mwanademokrasia unapendekeza mapinduzi?
Kwa kadiri ya katiba yao na yenu, hayo ni mapinduzi
 
kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...

badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...

kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....

Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,

kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,

sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa nini usipambane na chama chenu? Mnaangaika na chadema wakati hakiwahusu
 
Mwamba n Heche lissu bado afya yake haijatengamaa
this is not only positive criticism but visionary and very constructive criticism,

thank you gentleman asant kwa utu na kumjali Lisu 👊💪
 
Kwa nini usipambane na chama chenu? Mnaangaika na chadema wakati hakiwahusu
gentleman,
mtaalamu nashauri vyama vyote vya siasa nchini...

sio Lazima kuzingatia ushauri na mapendekezo yangu ni hiyari gentleman 🐒
 
Kwenye situations zinazohitaji radical decisions ni kweli Mbowe anaonyesha udhaifu sana, leadership yake ni style moja tu democratic, hii imeleta wanachama wake kutokumuamini hata anapotaka waact. Power ya kuongoza njia wamfuate kunapohitajika autocratic style kaipoteza! Anapoongea kwenye situation nzito na inayohitaji solution ya haraka watu wanamtazama usoni kama anamaanisha wanakosa imani kama atakuwa nao pamoja! Psychologically wanajua anaweza kutaka majadiliano ndani ya process. Ndio fact,

Magufuli aliwabeba watanzania kwa psychology tu sio kwa usafi wake! Alijua watanzania wa sasa wanataka sadistic leader na akacapitalize hapo wakamuelewa na wakamfuata wakijua atasimamia kauli zake na mostly alisimamia ikawa turufu yake!
Tatizo mbowe anatumia Sana busara. Ilibidi jino kwa jino tuu.mambo ya upole yashapitwa na wakati
 
Kwa hiyo mwanademokrasia unapendekeza mapinduzi?
Kwa kadiri ya katiba yao na yenu, hayo ni mapinduzi
zingatia ushauri wa kitaalamu kwenye hoja ya msingi,

lakini nakushukuru sana kwa nyongeza muhimu sana kwamba mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ameaua sasa kuachana na misingi hiyo ya kuanzishwa kwa chadema,

na sasa anachochea vurugu na kupuuza demokrasia ambao ndio msingi wa chama chake..

nadhani ni muhimu akaondolewa 🐒
 
Tatizo mbowe anatumia Sana busara. Ilibidi jino kwa jino tuu.mambo ya upole yashapitwa na wakati
sasa itabidi kisiitwe tena chama cha demokrasia na maendeleo, kiitwe chama cha fujo CCF 🐒
 
Back
Top Bottom