Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

lisu kiumbe pekee aliyeshindikana kununuliwa na watawala
 
lisu kiumbe pekee aliyeshindikana kununuliwa na watawala
Sure,
hawezekani aise,
majuzi tu alikua ana tembea na kontena la kiporo chav bwabwa na maharagwe hadi kinzimbani kwasababu ya njaa kali, eti leo anataka kugomea chakula, kwani siku zote alikua analazimishwa kula? kachanganyikiwa nini huyo jamaa
 
Lisu ndio alisababisha watu wakafanya vurugu na kufa kwa ujinga wake, malipo yake ndio haya, na atateseka sana
 
Lisu atateseka sana, kwa upumbavu wake wa kuhamasisha vurugu
 
Tunapokumbushwa sisi ni apes tusiwe tunapingana na evolution wandugu, tupo kwenye process ya civilization waliyopata wenzetu miaka 100-200 iliyopita

Unaunda taasisi zako mwenyewe unaunda na sheria na unazifund kwa kodi za wananchi then wewe mwenyewe huziheshimu then mnacheka tu Kama mazuzu then mnasema mna serikali then mna vyombo then mna mkuu wa nchi then mna law enforcers yani tope tupu ndani ya shitholeni. Sijui kwa nini niliijua hii jamii duni kabisa na IQ zetu kama idiots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…