Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Hivi ni nani kati ya Tanzania na Dubai aliyetakiwa kuandaa mkataba? Huu hauna sura ya kwamba TZ ndio yenye kuhitaji mwekezaji. AIBU
 
Wwe
Wewe ni mpumbavu! Unadhani hii Nchi ni ya Samia!
Ulisubiri akusomee mkataba unamlipa? Peleka ujinga wako huko! Hatutaki mikataba ya Kimangungo kwenye rasilimali za Nchi yetu!
 
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza huyu Lissu. Hana jipya.
 
Tulia mkuu. Acha kulazimisha attention
 
Lisu uko vizuri kwenye sheria,lakini akihamia kwenye siasa ni mzandiki,mzushi,muongo,mfitini na mbabaishaji mno.
 
Kwenye hiyo post yako jambo pekee la maana ulilozungumza ni hapo kuwa Magufuli alitaka kummaliza Lisu. Wenzako huwa wanataka ushahidi kama ni Magufuli alitaka kummaliza. Sasa badala ya kuacha wenzako wa CCM wapotoshe kuhusu nani alitaka kummaliza Lisu na ukweli unaujua, bora uwaambie tu.
 
Thibitisha

Ulitaka ,asome akati kashasoma ,kama haukua mkataba kamshitaki Kwa kumtukana rais
 
Huwa mnatuchanganya watz na kwa uzushi na kutunga hamjambo

Mara alietaka kummaliza alikuwa late president, halafu mkazusha tena ni mwenyekiti wake

Ila nae kama mda wa kurudi kuomba incapacity benefits arudi zake tu maana wabongo kila leo wana udaku wala hawamsubiri yeye na ubuyu wake

Saa hizi wanajipanga na kuiba bidhaa za kufukua bahari eti wamkomoe DP
 
We we si tu kichuguu mbele ya TAL bali shimo la choo!
 
Next president Lisu kakutapeli nini?
 
We ndio tapeli
 
Nyanoko be,lushindo long'wa noko gete
 
Wajinga mpo wengi sana, kwahiyo ulitegemea Lissu aanze kusoma vipengele vyote vya mkataba kama mtoto wa shule ya msingi?

Hapo alichofanya Lissu ametoa summary ya madudu yaliyopo kwenye ule mkataba, halafu baada ya hapo anaelezea ujinga uliofanyika, ili kuwaamsha watanganyika wote wajue wanaelekea kupelekwa utumwani na kiongozi mkimbizi toka Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…