Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Kwo taraatibu mmeanza kukili kuwa nimzee alitaka kumumaliza??mazingira yalionesha niyeye ila mlikataa Kwa nguvu zote Leo mmejisahau mmeanza kufunguka ,,,haya yule mjinga alikuwa hataki kujibu hoja anakimbilia kuteka nakuua ivi alijua mngu ni msukuma??limekuja la bandari hamjibu hoja makelele ndo yamewajaa,,,,tufanye tundulisu Hana hoja vip nyie mlichosaini nisahihii??tuna rais mpuuzi,pm mjinga na bunge lakiwaki
 
Alitaka kummaliza?
Mmalize wewe, mshenzi mkubwa.
Katika huu utawala wa mheshimiwa SAMIA hatutaki vitendo vya kinyama.
Hii ni serikali yenye huruma.
 
Unauhakika kuwa Magufuri ndio alipanga lile tukio la Dodoma kwa kiongozi wa CHADEMA?kama ukifikishwa kwenye vyombo husika unaweza shuhudia jambo hili?

Ndio huyu kiongozi ni mpotoshaji.Je,wewe ukweli wako uko wapi?Unataka akasome huo mkataba mbele zako wewe katika legal field upo daraja lipi mwenzetu?

Jibu maswali mnayoulizwa kila wakati.Mkataba wenu na waarabu ukomo wake ni lini?acha uswahili mikataba inaandaliwa na legal experts wewe na huyo kiongozi unayesema mnafiki ukifanya comparison uoni kama kakuacha mbali katika hii field au nadanganya?
 
Wewe ni zaidi ya kilaza
 
Pambaneni na huyo Lissu,acha kabisa kumuhusisha Magufuli na sakata lenu la bandari
 
Wewe utayaona tu yakishindana kufungua threads za kusmhambulia Lissu,last week yalikua kwa Tibaijuka na Shivji,this week kwa Lissu!!
nyie manyumbu majinga tumeshayazoea ila yule ni tapeli na mzushi, hakuna mnachoweza kuzuia nyie makima mama ataupiga mwingi km kawaida nyie mazuzu muendelee kumchekea km kawaida ya mazuzu
 
this is known. ni mzushi sana. tapeli. and kama ana delusion psychosis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…