Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

Hawa wapotoshaji dawa ni kuwapuuza tu
 
Wewe utayaona tu yakishindana kufungua threads za kusmhambulia Lissu,last week yalikua kwa Tibaijuka na Shivji,this week kwa Lissu!!
Ushibiki wa kijinga, mimi ni ccm, ila sishabikii yasiyo na manufaa kwa nchi.
NITASEMA KWELI DAIMA,FITINA KWANGU MWIKA..Hata Shivji ndio msimamo wake,.
 
Jamaa kajichanganya hapo tu, kiukweli ile kutamani kiti cha mbowe ndiko kulikomponza Lissu.
 
Huyo Magufuli aliyetaka kumuua Lissu leo yuko wapi ?
 
Huyu mtu ndio maana Magufuli alitaka kummaliza, ni mwongo, mzushi,
Noted 👆👆👆!!! Hujaainisha hayo matusi dhidi ya Rais, hujaainisha huo uzushi wake. NB; Jukwaa lingependa utoe utaalam wako na ujuzi kuhusu mkataba wa DP world, ili kum prove wrong LISSU!!
 
Alipinga wapi wkt kill siku nasikia TBC hotuba za nyerere
Wewe ujui ya sirini sa100 anachuki na Nyerere kuliko magufuli ...hao unaosikia wajomba oman unajua ni hakina nani wakati wa mapinduzi ya zanzibar ? Tena hao wajomba wa oman wana amini kuwa Nyerere ndiyo aliye wapindua ....hivyo chuki ya huyo mama niya mbali ...wajomba zake bado wanaamin kuwa zanzibar ni koloni lao na ngozi nyeusi ni watumwa wao ...hivyo wanajipanga kurudi kwa njia yoyote
 
Jamaa kajichanganya hapo tu, kiukweli ile kutamani kiti cha mbowe ndiko kulikomponza Lissu.
Kama Mbowe ndio alimshambulia Lisu kwanini asingefunguliwa mashitaka ya hayo mashambulizi, badala yake akabambikiwa kesi ya ugaidi? Punguza utoto dogo.
 
Mbona Watanganyika wote tunao mkataba? Hatuhitaji mtu atusomee, tunahitaji uchambuzi na ufafanuzi tu!!

Huko Zenji hamjaupata?
 
Usitugombeze sasa jieleze kwa mpangilio
 
Mashungi ni mpumbavu na adui wa taifa ...wewe jiulize kwanini alipiga marufuku hotuba za Nyerere na Jpm
Nimechelewa sana kupata hii habari,
Kazipiga ban kusikika wapi mzee!
 
Nimechelewa sana kupata hii habari,
Kazipiga ban kusikika wapi mzee!
Watu wa vyombo vya habari walipokea agizo na wamiliki.... wewe ukuona hata daraja la tanzanite picha ya magufuli na nyerere hazikuwekwa wala jina la jpm alikutajwa hata wananchi alio hojiwa kuhusu daraja wale wote ambao walimtaja jpm basi clip zao zilifutwa zisirushwe popote
 
Duh noma sana, inamaana na kile kipindi kinachorushwaga tbc taifa cha usia wa baba hakipo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…