Channel Pekee yenye ubora wa urushaji matangazo ni channel Ten, nimeipenda sana, kwanza wana drone za juu na muonekano wa picha ni safi na tulivu.
Sauti imetulia vizuri kabsa.
Una maneno makali sana! Tumpe heshima yake marehemu na si kumdhika kwa kumbatiza majina ya Kifedhuli.Kama si ujinga vipi usimame barabarani for 2 hours kwa kusubiri mzoga upite, wakati huo huo unajihatarishia maisha yako kwa maradhi ya maambukizi kama Covid-19.
JWTZ, nawapenda na kuwakubali sana Wanajeshi wetu, huwa napata furaha sana nikiwaona, Mungu wabariki Wajeda wetu, ...
What's your point!?Mzee Ndesamburo alipofariki hatukuweza kumuaga uwanja wa Memorial.
Anao wawiliHivi Muheshimiwa hakuwa na watoto kabisa?? Au huyo aliye jirani na bi mkubwa ndio mwanae??
We umeona wapi Tz kuna Covid-19!?, umeona wapi!, Umeona wapi!, hebu acheni uzushi ambao hauna maana bhana.Tutakusanyika kuzika wengine
Azam chaneli gani?Mambo yako azam ww, acha kuumiza macho na tv ya wanambogamboga hiyo
Kwani wapi nimeandika corona?We umeona wapi Tz kuna Covid-19!?, umeona wapi!, Umeona wapi!, hebu acheni uzushi ambao hauna maana bhana.
watajeAnao wawili
We know that Covid-19 is real!, Point yangu ni kwamba kwani mikusanyiko ndo imeanza leo!?, Mbona mikusanyiko mingi tu imefanyika and nothing happened.Pole kwa waTZ.
Unapoenda ktk mikusanyiko fahamu:Covid 19 is real
Subiri tuone kama baada ya hili tukio kutakuwa na vifo vya jumla jumla..... Kama ipo na watu wanavokusanyika, basi lazima kufurikwe na wagonjwa na watu kufa kwa wingi. Ila kama hakuna jipya baada ya hapo, basi itakuwa hamna corona tena kweli.Wanaoenda uwanjani wajihadhari sana corona bado IPO sana tu
Waangalie hapo kwenye TV, siwajui majinawataje
Kuna mmoja aliwahi kuwaita wenzake malofa na wapumbavu.kibri kimetujaa wanadamu kama tutaishi milele hapa dunian
Hiyo ni dalili kwamba marehemu hakuwa na lugha nzuri.Una maneno makali sana! Tumpe heshima yake marehemu na si kumdhika kwa kumbatiza majina ya Kifedhuli.
Rubbish. Take it to the dustbinCovid-19 kuna watu wanahoji mkusanyiko wa kumuaga mzee Mkapa ilhali na wao wanahamasishana kukusanyika kumpokea shoga Airport.
Marehemu hasemwi vibaya..Ni jambo la kushangaza lakini ipo hivyo na itabaki kuwa hivyo.Hiyo ni dalili kwamba marehemu hakuwa na lugha nzuri.
Refer malofa na wapumbavu
Covid-19 kuna watu wanahoji mkusanyiko wa kumuaga mzee Mkapa ilhali na wao wanahamasishana kukusanyika kumpokea shoga Airport.
Hayo ni mazoea wala sio sheria.Marehemu hasemwi vibaya..Ni jambo la kushangaza lakini ipo hivyo na itabaki kuwa hivyo.