Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Mambo yako azam ww, acha kuumiza macho na tv ya wanambogamboga hiyo
Channel Pekee yenye ubora wa urushaji matangazo ni channel Ten, nimeipenda sana, kwanza wana drone za juu na muonekano wa picha ni safi na tulivu.
Sauti imetulia vizuri kabsa.
 
Kama si ujinga vipi usimame barabarani for 2 hours kwa kusubiri mzoga upite, wakati huo huo unajihatarishia maisha yako kwa maradhi ya maambukizi kama Covid-19.
Una maneno makali sana! Tumpe heshima yake marehemu na si kumdhika kwa kumbatiza majina ya Kifedhuli.
 
Covid-19 kuna watu wanahoji mkusanyiko wa kumuaga mzee Mkapa ilhali na wao wanahamasishana kukusanyika kumpokea shoga Airport.
 
Pole kwa waTZ.

Unapoenda ktk mikusanyiko fahamu:Covid 19 is real
We know that Covid-19 is real!, Point yangu ni kwamba kwani mikusanyiko ndo imeanza leo!?, Mbona mikusanyiko mingi tu imefanyika and nothing happened.
 
Wanaoenda uwanjani wajihadhari sana corona bado IPO sana tu
Subiri tuone kama baada ya hili tukio kutakuwa na vifo vya jumla jumla..... Kama ipo na watu wanavokusanyika, basi lazima kufurikwe na wagonjwa na watu kufa kwa wingi. Ila kama hakuna jipya baada ya hapo, basi itakuwa hamna corona tena kweli.
 
Malaria na mshituko wa moyo....Kile kipimo kingine kimekatazwa ila Malaria + mshituko wa moyo = ?
 
Back
Top Bottom