Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Watanzania huwa tunaongea kwa vitendo, BM hakuwa mtu wa watu bali alijiona sana, akapora, akatukana, akaua na mwisho akaikabidhi nchi kwa diktetaJapokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Wewe ulijitokeza au unaangalia kwenye luninga?Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli.
Licha ya hivyo, wahusika walijipanga vizuri na mambo yalikwenda vizuri kabisa na unaona watu kuguswa na vifo hivyo...
Ingawa uliyosema ni kweli, lakini busara tunyamaze na tumzike ndugu yetu,kwa amani na upendoHakuna anayemsupport Magu watu wakampenda kutoka moyoni.
Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Unaweza kumtanguliaTusubiri wa DAB tuone kama kutakuwa na mabadiliko
Mkuu Yaani umefikia hitimisho kwa kuleta sample ya watu watatu kati ya watu millioni 50+?,haya na Mimi nakupa watu watatu wanaomsaporti jembe JPM na wameshinda kula za maoni kwa kishindo,waziri mkuu ambaye kapita bila kupingwa,spika wa bunge kashinda kwa 96% na tulia akson naibu spika kashinda kwa 90+%Hakuna anayemsupport Magufuli watu wakampenda kutoka moyoni.
Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Kwanza hao wote uliowataja vifo vyao vilitokea njee ya nchi wakat Mkapa ni hapa hapa.Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Sizungumzii mimi nazungumzia taifaUnaweza kumtangulia
Hasa maeno ya postaKwanza hao wote uliowataja vifo vyao vilitokea njee ya nchi wakat Mkapa ni hapa hapa, Pili Clouds fm na ITV walipiga sana promo mapokezi yao kuanzia uwanja wa Ndege kumbuka Mwl Nyerere naye ilikuaje mapokez yake toka uingereza, tatu jana ni jumapili alaf msafara ulianzia asubui unafikir nani ajitokeze kwenda barabarani..