Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Ratiba na route yenyewe aikutangazwa wala hakukuwa na hamasa

Timing yenyewe sio nzuri ukizingatia siku ya jumapili

Hao watu wangetokea vipi.

Yale yale ya serikali kwenye kuandaa mambo yake 9 out 10 huwa ovyo.
 
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Watanzania huwa tunaongea kwa vitendo, BM hakuwa mtu wa watu bali alijiona sana, akapora, akatukana, akaua na mwisho akaikabidhi nchi kwa dikteta
 
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli.

Licha ya hivyo, wahusika walijipanga vizuri na mambo yalikwenda vizuri kabisa na unaona watu kuguswa na vifo hivyo...
Wewe ulijitokeza au unaangalia kwenye luninga?
 
Nimeshangaa kuona vichwa vya habari 'maelfu washiriki kumuaga Mkapa' lkn hali ya jana ilikuwa tofauti, anyway labda tuone leo.
 
Hakuna anayemsupport Magufuli watu wakampenda kutoka moyoni.

Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Mkuu Yaani umefikia hitimisho kwa kuleta sample ya watu watatu kati ya watu millioni 50+?,haya na Mimi nakupa watu watatu wanaomsaporti jembe JPM na wameshinda kula za maoni kwa kishindo,waziri mkuu ambaye kapita bila kupingwa,spika wa bunge kashinda kwa 96% na tulia akson naibu spika kashinda kwa 90+%

Huwa mnakwama wapi ninyi wakuu kwa kuja na simple analysis za chekechea?
 
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Kwanza hao wote uliowataja vifo vyao vilitokea njee ya nchi wakat Mkapa ni hapa hapa.

Pili Clouds fm na ITV walipiga sana promo mapokezi yao kuanzia uwanja wa Ndege kumbuka Mwl Nyerere naye ilikuaje mapokez yake toka uingereza, tatu jana ni jumapili alaf msafara ulianzia asubui unafikir nani ajitokeze kwenda barabarani..
 
Enzi za uhai wake alijimwambafai sana. Wananzengo wana hiyari ya kuchagua, wamuombolezee au wamlaani huko aendako.
dalili zinaonyesha amelaanika maana jeneza limemdhibiti vilivyo.

jiwe asome hii picha.
 
Kuaga ni kuaga tu.

Jana nilikuwa na discuss kuhusu kaburi kujengewa malu malu,nilimjibu ujengewe malu malu au bila malu malu kaburi litabaki kuwa kaburi tu hata liwekewe lift ndani yake.

Kwaiyo kuagwa ni kuagwa tu,pia kumbuka pandemic ipo kujaza watu ndio kufika mbinguni haraka?
 
Hii kitu hata mimi imenifikirisha sana! Nadhani media zisiishie kumuelezea Mkapa tu, waende extra miles
 
Kwanza hao wote uliowataja vifo vyao vilitokea njee ya nchi wakat Mkapa ni hapa hapa, Pili Clouds fm na ITV walipiga sana promo mapokezi yao kuanzia uwanja wa Ndege kumbuka Mwl Nyerere naye ilikuaje mapokez yake toka uingereza, tatu jana ni jumapili alaf msafara ulianzia asubui unafikir nani ajitokeze kwenda barabarani..
Hasa maeno ya posta
 
Back
Top Bottom