"Hamta ishi milele sifa ya mtu kufa, mara Tasaf, Mkukuta, Mkurabita, yote hii ni mifuko ya upigajiiiii" Nikki Mbishi
 
Nani alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo? Unafahamu kuwa wakati Magu akiwa Naibu waziri wa ujenzi alikuja na wazo la mfuko wa barabara ambayo ndiyo ikaja kuwa Tanroad? Na bathi ya mawaziri wakamwekea kauzibe mpaka Rais Mkapa alipoingilia?
 
Nani alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo? Unafahamu kuwa wakati Magu akiwa Naibu waziri wa ujenzi alikuja na wazo la mfuko wa barabara ambayo ndiyo ikaja kuwa Tanroad? Na bathi ya mawaziri wakamwekea kauzibe mpaka Rais Mkapa alipoingilia?
Mfuko wa barabara ni kitu tofauti kabisa.
Mchakato wa kuanzisha roads funding agent ulianza toka 1991/92, wakati hata Magufuli hajulikani.

Roads Fund Board ni a project funding agent na ilianzishwa kupitia THE ROAD AND FUEL TOLLS ACT, CHAPTER 220.
Nayo ilianzishwa mwaka 2000, sawasawa na TANROADS iliyo anzishwa July 2000.
Hii ilikuwa a master stroke ya ingenuity kwa upande wa serikali ya Mkapa, kwani funding ya roads projects sasa ulikuwa na uhakika zaidi kuliko mtindo wa ku fund miradi ya barabara kupitia bajeti ya wizara ya ujenzi.

Kwa hili Mkapa hatasahaulika.
 
Mie
Huo mwili kwanini wasiuzungushe mtaani kwa gari maalum kuliko kuwapa wananchi shida na kuwahatarisha na magonjwa ya mlipuko!?
Mie wameniboa tu kutushtukiza na njia ya msafara asubuhi hii. Jana nimefuatilia mpaka taarifa za saa 4 usiku labda wangeeleza hola. Mie niko jirani na hapo Lugalo lakini nimeshtuka wao wako Mwenge tayari. Sasa inabidi niende uwanja wa Taifa, wakati ningeweza kuaga hapa hapa.
 
Hivi wanajeshi wabebaji hawawezi kubadilishina wakichoka?
Maana naona Kuna mmoja hapa kaelemewa Sana.
 
Natoa wito kwa wananchi watakaojitokeza kujihadhari na Corona kwa kuvaa barakoa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…