Apumzike Kwa Amani Kazi Ya Mungu Haina Makosa
 
G sam taarifa kwamba alikosa msaada wa mashine ya kupumulia umezipata wapi ?

By the way yeye aliwahi kuwa Rais alishindwa nini kuzinunua hizo mashine za kupumulia za kutosha ?
 
Mbona tunaambiwa kafia Muhimbili?
 
Channel Pekee yenye ubora wa urushaji matangazo ni channel Ten, nimeipenda sana, kwanza wana drone za juu na muonekano wa picha ni safi na tulivu.
Sauti imetulia vizuri kabsa.
Nakubaliana na wewe ila Kwenye sound wamechemsha kidogo
 
Channel Pekee yenye ubora wa urushaji matangazo ni channel Ten, nimeipenda sana, kwanza wana drone za juu na muonekano wa picha ni safi na tulivu.
Sauti imetulia vizuri kabsa.
Nakubaliana na wewe ila Kwenye sound wamechemsha kidogo
 
Ni watu wa wapi hao? Umempqtia sana jamaa halafu jinsi anavyowatukuza utafikiri wanamfanyia kazi ya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
M'mbugwe ni mtu yeyote ambaye ana ushamba uliopitiliza anayepata mhemko anapoona wanajeshi. Anafikiria mwanajeshi ni mtu mwenye mamlaka ya kufanya chochote na wakati wowote. M'mbugwe hata zile nguo za jeshi huwa anaziabudu. Kwa kifupi ni ile mijitu mishamba iliyopitiliza.
 
Kama si ujinga vipi usimame barabarani for 2 hours kwa kusubiri mzoga upite, wakati huo huo unajihatarishia maisha yako kwa maradhi ya maambukizi kama Covid-19.
Usiite mzoga aiseeh!! Sisi wote njia yetu ni moja It is the matter of time tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…