Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Wajue kuwa kipochosababisha kifo cha Mkapa kimefichwa tena kwa makusudi maana alifariki kwenye hospitali ndogo hapo Makumbusho kwa kukosa huduma muhimu ya kumsaidia kupumua.

Chukua tahadhari Corona ipo, inaua na kama ukiendelea kushupaza shingo "UTAKUFA TU NA MIMI NASEMA UFE MAANA HAKUNA NAMNA SASA! CHAGUENI WAKUMSIKILIZA KISHA UWE MBAYUWAYU MAANA ANGEWASIKILIZA NDEGE WENZAKE ANGEANGUKIA KICHWA"
G sam taarifa kwamba alikosa msaada wa mashine ya kupumulia umezipata wapi ?

By the way yeye aliwahi kuwa Rais alishindwa nini kuzinunua hizo mashine za kupumulia za kutosha ?
 
Wajue kuwa kipochosababisha kifo cha Mkapa kimefichwa tena kwa makusudi maana alifariki kwenye hospitali ndogo hapo Makumbusho kwa kukosa huduma muhimu ya kumsaidia kupumua.

Chukua tahadhari Corona ipo, inaua na kama ukiendelea kushupaza shingo "UTAKUFA TU NA MIMI NASEMA UFE MAANA HAKUNA NAMNA SASA! CHAGUENI WAKUMSIKILIZA KISHA UWE MBAYUWAYU MAANA ANGEWASIKILIZA NDEGE WENZAKE ANGEANGUKIA KICHWA"
Mbona tunaambiwa kafia Muhimbili?
 
Channel Pekee yenye ubora wa urushaji matangazo ni channel Ten, nimeipenda sana, kwanza wana drone za juu na muonekano wa picha ni safi na tulivu.
Sauti imetulia vizuri kabsa.
Nakubaliana na wewe ila Kwenye sound wamechemsha kidogo
 
Ni watu wa wapi hao? Umempqtia sana jamaa halafu jinsi anavyowatukuza utafikiri wanamfanyia kazi ya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
M'mbugwe ni mtu yeyote ambaye ana ushamba uliopitiliza anayepata mhemko anapoona wanajeshi. Anafikiria mwanajeshi ni mtu mwenye mamlaka ya kufanya chochote na wakati wowote. M'mbugwe hata zile nguo za jeshi huwa anaziabudu. Kwa kifupi ni ile mijitu mishamba iliyopitiliza.
 
Kama si ujinga vipi usimame barabarani for 2 hours kwa kusubiri mzoga upite, wakati huo huo unajihatarishia maisha yako kwa maradhi ya maambukizi kama Covid-19.
Usiite mzoga aiseeh!! Sisi wote njia yetu ni moja It is the matter of time tu
 
Back
Top Bottom