Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Dah hatimaye zama za Musiba nazo zimeisha. Amebaki historia, kweli ivumayo sana hupasuka..
 
Mbona hawa wa toto wa nyerere makongoro na madaraka kwa muone kano kimazingira kieshima kinyazifa Serikalini wapo tofauti Sana na watoto wa mwinyi, kikwete, lowassa, karume mfano kwenye kura za maoni ccm huko kwao wamekatwa Lakin watoto wa kikwete, lowassa mwinyi, wametoboa kwenye kura za maoni ccm
 
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.

Updates:

Sasa ni saa 2 asubuhi Uwanja wa Uhuru umeshafurika kabisa
 
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.
Miundombinu ya uwanja wa Taifa unaijua au unaandika tu?
 
Lissu kesho apewe nafasi ahutubie walau kidogo. Huyu ndo mtu aliyekaa ktk mioyo yetu watanzania.

Ni Lissu tu jamani hakuna mwingine, furaha niliyonayo leo haiwezi kusimulika mtu akanielewa.

Mungu uliyemuokoa LISSU, Watanzania tunaomba uendelee kumlinda, mapenzi yako yatimizwe na yajulikane ni kwanini Ulimuokoa Lissu ktk Bonde la uvuli wa mauti.

Wewe Mungu utabaki kuwa Mungu tu, wewe ndie msemaji wa mwisho. Hakuna mwingine wa kuzungumza endapo wewe ukaamua kuzungumza.

Jina lako lihidimiwe ktk ulimwengu huu na ujao pia.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Enzi za uhai wake alijimwambafai sana. Wananzengo wana hiyari ya kuchagua, wamuombolezee au wamlaani huko aendako.
dalili zinaonyesha amelaanika maana jeneza limemdhibiti vilivyo.

jiwe asome hii picha.
Dua hii ikurudie wewe mjawa laana, mzee mkapa tutamuenzi kwa uzalendo wake
 
K
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.
Kwa nini wa kuongea awe Lissu tu, mbona wapo kina zitto, membe, lipumba, mbatia, cheyo, nk
 
Were mnafiki nenda kalale
 
K
Kwa nini wa kuongea awe Lissu tu, mbona wapo kina zitto, membe, lipumba, mbatia, cheyo, nk

Inashangaza kama huoni tofauti ya hao na Tundu Lissu....

Kwa kifupi ni kuwa, hawajawahi kupigwa Risasi za SMG wala AK47 hao japo moja halafu ingalau kwenye paja tu halafu waka - survive...

Huyu mtu upende ama usipende, ni very "UNIQUE CREATURE"....

16 bullets in the body is not a joke, yet the guy miraculously defeated death and is alive to day....!!

Hebu itoshe tu kusema TUMWACHE MUNGU AITWE MUNGU MUUMBA, baasi....
 
Back
Top Bottom