Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Duh! Hii mbaya sana, madereva wamekosea nini sasa?!Wakati hayo yanaendelea,,Congo wanapora watanzania wanaosafirisha bidhaa na magari ya mizigo,,wanapigwa mawe wanaporwa hela had chakula,,madereva mnaosafir Congo muwe makini kumechafuka huko!
Tatizo intelligence yao ipo weak sana. Jeshi hata ulipe silaha gani lakini kama ujasusi upo weak kila ambush ni kama mtu ulifunaniwa tu.Majeshi ya Congo DR ni TAKATAKA, JWTZ walishasafisha eneo hilo kitambo wakawakabidhi jeshi la congo lkn muda mfupi tu jeshi la Congo DR likakimbizwa na waasi wakachukua maeneo tena! This time labda JWTZ wawape kwanza mafunzo na silaha wanajeshi wa Congo.
Wamuulize Idd Amin 77 ilimfanya kitu mbaya"Saba saba"
😂😂😂😂
Huwa tunasema humu hakuna kitu duniani kinaitwa "Silaha ya Zamani", kama upo kwenye range umeisha......
📌📌🔨TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Ngoja tuoneWamuulize Idd Amin 77 ilimfanya kitu mbaya
Tofaut yao ni nini chief nipe elim kidogoNaona sasahivi tumepeleka Luteni Kanali kama msimamizi wa show.. Kipindi kile tulipeleka Brig Jenerali
Maombi ya mwamposa yatakuwa yamemsaidia hapo kaweUzuri siku hizi hana matusi aise. Binafsi nilishangaa alipelekwa na nani kwa mganga!!! Maneno yake yalikuwa yanaunguluma kama mashine ya kusaga aise. GENTAMYCINE ,njoo basi
Bro/Sis!!! Jama alikuwa anashusha matusi hadi unajiuliza kwa nini umeandika aise! Aliwahi nijibu nikatamani kujiondoa JF. Na kila dakika,alikuwaga online. Sijui aliitwa ofisini JF! Dah?!! Ila kweli,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.Maombi ya mwamposa yatakuwa yamemsaidia hapo kawe
Huwa naogopa sana kuwa korofisha watu wafupi wana balaa hao.Bro/Sis!!! Jama alikuwa anashusha matusi hadi unajiuliza kwa nini umeandika aise! Aliwahi nijibu nikatamani kujiondoa JF. Na kila dakika,alikuwaga online. Sijui aliitwa ofisini JF! Dah?!! Ila kweli,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Dah! Naona Jamaa yetu Figa katutelekeza - hatupati updates tena. Cjui ww unazipataje mkuu.Sio ilivyo bali inavyomtesa hata jana imesaga mtu 40
Urusi inasema ni raia wa kawaida walikuwa kwenye mgahawa
tatizo tunajifanyaga tuna roho nzusi sana kumbe mafala tu, marekani yupo saudia kwa sababu anavuna mafuta mara kumi ya tech ya ulinzi anayowapa saudia, alivamia iraq kuiba mafuta kwa kisingizio cha kutafuta weapons of mass destruction, etc ss kila tuendapo tunarudi na mapumbu tu.Umesema ukweli ,kinachotakiwa ni kujipa sisi kipaumbele
Na kudeal na matatizo yetu kuliko kuleta kimbelembele kwenye mambo ambayo hata hayatuingizii faida
Oh! Kumbe Kikongo na Kibongo ote iko dugu moja? 😁Bupigwe bupigwe busambaratike bukimbie kumapori na masase buenderee kubufuata buko musituni
Tunabushuru bajirani yetu ba Tanzania Nzambe ibubariki sana!!!
Umetag mpaka umechoka. Kuna zingine 7
Watarudi tena baadaye....!Pelekeni moto week 3 fungeni hesabu kabidhi maeneo kwa Serikali ya DRC chap chap
Ifike hatua EAC itibu chanzo. Ipige Rwanda moja kwa mojaWatarudi tena baadaye....!
Mgambo wa Tanzania, wana Nidhamu ya Kijeshi kuliko Jeshi la Congo....!
Hiyo itakua ni ngumu....!Ifike hatua EAC itibu chanzo. Ipige Rwanda moja kwa moja
Shida ni Kianzio au tuseme Sababu(Kisababishi) ya kufanya hivyo wataipataje? The snake is under the grass -u cant see it.Ifike hatua EAC itibu chanzo. Ipige Rwanda moja kwa moja
Eeh bote bundugu momoyaaOh! Kumbe Kikongo na Kibongo ote iko dugu moja? 😁