little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Nampata vyema sana ni moja ya kamanda aliyekubalika kwa askari sana alikuwa na hamasa pia mbinu nyingi za kupiganisha ila ndiyo hivyo colonel mwenzie alimuuza kwa waasi wa ADF ila hao M23 wanaukumbuka moto wake.Huyu jamaa unampata kumbe, niliwahi kuisoma documentary yake alikuwa ni lulu kweli kwa Congo, unfortunately aliuzwa na wajeda wenzie
Ukishakua na influence kubwa jeshini katika mataifa yenye unstability kama Congo, wewe tayar ni tishio na kinachoku stahili ni kifo maana hukawii kuwaondoa wahusika madarakani.Nampata vyema sana ni moja ya kamanda aliyekubalika kwa askari sana alikuwa na hamasa pia mbinu nyingi za kupiganisha ila ndiyo hivyo colonel mwenzie alimuuza kwa waasi wa ADF ila hao M23 wanaukumbuka moto wake.
Naam na hicho ndicho hasa kilipekekea kwasababu jamaa hadi raia akifika mahala unaweza sema mkutano wa kisiasa kumbe ni Col. NdalaUkishakua na influence kubwa jeshini katika mataifa yenye unstability kama Congo, wewe tayar ni tishio na kinachoku stahili ni kifo maana hukawii kuwaondoa wahusika madarakani.
Never outshine your master
M23 They should not be pardonned.
Kwa maana hiyo👆 👆 👆 wanastahili kubamizwa kisawasawa sivyo? Na wakilialia hapa wasisikilizwe.😠😠M23 They should not be pardonned.
Wahuni.
Vikosi vya M23 vimerudishwa nyuma kwenye mji wa SakeVita ni ngumu, wahuni wa m23 baada ya kupoteza ushibiti wa kijji cha Mweso wilayani masisi, sasa wamesonga mbele na kukamata miji ya Kiritshe na Shasha kuelekea njia panda ya bukavu na Goma.
Katika mapigano mengine, inasemekena vikosi vya m23 tayari vimeudhibiti mji wa Sake na kurusisha nyuma vikisi bya serikali kufuatia mapmbano makali ya hapo jioni.
Raia wanakimbia Sake kuelekea Goma kwa usalama.
Walimhofia anaweza akampindua kabilaNampata vyema sana ni moja ya kamanda aliyekubalika kwa askari sana alikuwa na hamasa pia mbinu nyingi za kupiganisha ila ndiyo hivyo colonel mwenzie alimuuza kwa waasi wa ADF ila hao M23 wanaukumbuka moto wake.
Mbongo akishatiaga mguu hao m23 na wanyarwanda wenzao wanakuwaga wadogo kama kidonge cha Pirton
View: https://twitter.com/ALahatane/status/1755317788686664081
View: https://twitter.com/paulkabamba008/status/1755321752970760381
Rwanda na M23 wanapewaga sifa za uwongo
Asante kwa kumtumia jibu murua hiyo zezeta wa Rwanda 🤣🤣Mtumie sms mumeo PK.
Nani kakuambia ?Vita ya porini hakuna anayetukaribia ukanda huu.
Tz haikushindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji,bali ilijikita kulinda mipaka ya nchi na haikutaka kujihusisha na mgogoro huo nje ya mipaka ila walibaki kulinda mipaka ya ndani basi.Rwanda jirani na Congo! "Ameshindwa" Kuwamaliza M23! Lakini "ameweza kuwamaliza, magaidi wa, msumbiji nchi iliyo jirani na TZ! Na TZ inaelekea, kuwamaliza M23! Lakini eti " Ilishindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji!
Something smell fishy
SahihiTz haikushindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji,bali ilijikita kulinda mipaka ya nchi na haikutaka kujihusisha na mgogoro huo nje ya mipaka ila walibaki kulinda mipaka ya ndani basi.
Hahahahaaa! M23 na Magadi wa Msumbiji ni miradi ya watu. Tanzania na Rwanda kila nchi inanufaika na hivi vikundi kwa namna moja au nyingine.Rwanda jirani na Congo! "Ameshindwa" Kuwamaliza M23! Lakini "ameweza kuwamaliza, magaidi wa, msumbiji nchi iliyo jirani na TZ! Na TZ inaelekea, kuwamaliza M23! Lakini eti " Ilishindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji!
Something smell fishy